Rekebisha andiko lako mkuuSalaam wa ndg!
Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.
kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na utovu wa nidhamu shule na kimasoma ila akiwa nyumbani ni mtoto mtaratibu sana na nidhamu ya hali ya juu.
Sasa ndg zangu wana jamvi naombeni ushauri wenu kwa kijana wangu nimpeleke VETA au arudie kidato cha 4 ili kwamba apate alama za kumpeleka O'LEVEL?
Nimemuuliza kwa jinsi matokeo yalivyokuwa mabaya atafanyaje kujiendeleza? AKAJIBU eti anataka kuwa Polisi.
Kata hukohuko kuna watu wanafauluPole sana...ulikosea sana kumpeleka kata...shule mbovu ht mtu akiingia na akili anatoka kapa kule..hakuna miundo mbinu ht walimu...cheap is expensive...
Anaonekana shule hataki tena ht ukimrudisha form four...ingawa ingekua vzr zaidi angerudia tena form 3 ili apate tokeo zuri...hapo wito wa kusoma hana .peleka veta..au ht huo upolisi anaoutaka...km nafasi ataipata
Fanya iv kaaa nae muulize anapenda kufanya kazi kan kutoka moyon mwake ili atakayo chagua ww nenda pale veta utauliza hyo corz alaf utapewa details zote ila pia hzo point inaaana ana pass zote na f moja so anawezq ata enda vyuo vya serekali kusoma kama vile "nit, ifm, cbe , vyuo vya ualimu hata vya afya pale cbe wameshaanza udahili ....ada zao nenda fka kwenye vyuo ivyo nautapata taarfaHuko kuna nini maana nina mjomba KE yeye ana IV point 26 je kwanaweka veta wanjifunza nini?na ada zao zikoje?
Ushauri mzuri sanaFanya iv kaaa nae muulize anapenda kufanya kazi kan kutoka moyon mwake ili atakayo chagua ww nenda pale veta utauliza hyo corz alaf utapewa details zote ila pia hzo point inaaana ana pass zote na f moja so anawezq ata enda vyuo vya serekali kusoma kama vile "nit, ifm, cbe , vyuo vya ualimu hata vya afya pale cbe wameshaanza udahili ....ada zao nenda fka kwenye vyuo ivyo nautapata taarfa