Ushauri: Uume wangu unatoka ute ute

Ushauri: Uume wangu unatoka ute ute

bairam

New Member
Joined
Sep 1, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Jamani naomba ushauri, nikisimamisha uume haya kidogo tu vinatoka vi ute ute kama maji mazito kama matone, nifanyaje kuzuia hiyo hali?
 
Kama ni ute kama maji haina shida. Huo huwa ni utangulizi kabla ya goli na hutoka kusafisha njia.

Acha kutazama porn na kuwaza zinaa muda wote.
 
Dah we jamaa kama uume wako unatoka umande hutokuja kuiona pepo wallah..
 
Back
Top Bottom