Ushauri, ushauri, ushauri

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,458
1,431
Habarani waheshimiwa, nipo hapa kuomba ushauri na mtazamo wa kitu ninchotamani kufanya, mfukoni nina mtaji wa laki 8 na ninataka kufungua biashara ya kuuza chipsi, kwa eneo lolote la dar ambalo ninaweza kufanya kweli hiyo biashara, najua changamoto ni nyingi lakini bila kupambana nazo huwezi kufika mbali.. Na kama huo mtaji ni mdogo je kwa hiyo pesa naweza kuongezea shilingi ngapi ili niweze kutimiza azma yangu?
 
Back
Top Bottom