Ushauri unahitajika

Kama yuko mikoa ambayo kuna utalii mfano kanda ya kaskazini, muambie aachane na ualimu utampotezea muda bure. Akomae ajifunze mambo ya utalii na aweke effort huko atatoboa maisha haraka sana kuliko akiwa mwalimu vijijini.
 
Kama yuko mikoa ambayo kuna utalii mfano kanda ya kaskazini, muambie aachane na ualimu utampotezea muda bure. Akomae ajifunze mambo ya utalii na aweke effort huko atatoboa maisha haraka sana kuliko akiwa mwalimu vijijini.
Yupo kaskazini na alikua anafanya kazi tours kama tour operator kabla ya ajira
 
Primary anakunja 450k cheti then usikubali mateso Maisha ni kuishi vizuri Kama mazingira mabovu hayampatii Amani ya moyo Bora kukataa hiyo job
Hivi ni kweli 450k ndio mshahara wa mwl ngazi ya cheti?
 
s useme tu ni ww tukushaul boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona umeamua kulizia mshahara wa uwalimu kijanja
tambua mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa wake.
Mwambie tu ukweli,asije akadhani akiingia ualimu kwa ngazi ya cheti,atakutana na muajiri wake,akubaliane nae milioni.Lazima Kuna kiwango.
 
Mwambie akawe mwalimu then akagonganishe ruhusa ya kwenda kusoma. Tena asiishie diploma akomae hadi Bach atatoka.
 
Anasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiii
Sasa unataka ushauri gani wakati unasema umemshauri lakini kakataa ualimu? Mwache aende anakotaka.
 
Ukweli mshahara wa Mwalimu wa cheti itakuwa 370000 na kuendelea take home kwenye 260 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…