SawaMwambie asiache kazi akomae atahama.Mwanzo mgumu
Sio Mimi ni rafiki yanguNaona mkuu usiache ajira ya ualimu, huko kampuni ni mpito tu!!
Uwe wewe au yeye mi sijali, Cha muhimu ajira ya sirikali ni bora zaidi 😄😄😄Sio Mimi ni rafiki yangu
Hapananaona umeamua kulizia mshahara wa uwalimu kijanja
tambua mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa wake.
Sawa mkuuUwe wewe au yeye mi sijali, Cha muhimu ajira ya sirikali ni bora zaidi [emoji1][emoji1][emoji1]
Kama yuko smart kwenye utafutaji akomae hapo huku akijiwekeza kwingine atakua na maisha Bora na atafunguka zaidi maisha ya ualimu ni magumu mpaka ufanye vitu vya pembeni ndio unapenyezaHabar zenu nahitaji ushauri wenu Kwa niaba ya rafiki yangu.
Ni hivi Nina rafiki yangu aliesoma ualimu ngazi ya cheti alimaliza mwaka 2018 lakini hakubahatika kupata ajira akasomea Short course ya tourism na akapata ajira kwenye kampuni niliyokua nikifanya kazi akawa anapokea salary ya 480000 plus marupurupu Kila mwezi.
Lakini June alipata kazi ya ualimu akapangiwa vijinini akaomba likizo ya miezi mitatu kazini akaenda kureport Sasa amerudi anasema mazingira magumu anataka aache ualimu arudi kazini Mimi nimeshindwa kumshauri chochote Kwa kuwa
Kwanza sijui mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti ni shilingi ngapi
Pili sijajua ni jinsi gani au baada ya muda gani atapanda daraja
Tatu sijajua ni baada ya muda gani ataweza kupata uhamisho arudi mjini
Naomba mnisaidie muongozo ili niweze kujua namsaidiaje bila kukurupuka
Asanteni
AsantePrimary anakunja 450k cheti then usikubali mateso Maisha ni kuishi vizuri Kama mazingira mabovu hayampatii Amani ya moyo Bora kukataa hiyo job
Kama anatafuta job security abaki serikalini.Habar zenu nahitaji ushauri wenu Kwa niaba ya rafiki yangu.
Ni hivi Nina rafiki yangu aliesoma ualimu ngazi ya cheti alimaliza mwaka 2018 lakini hakubahatika kupata ajira akasomea Short course ya tourism na akapata ajira kwenye kampuni niliyokua nikifanya kazi akawa anapokea salary ya 480000 plus marupurupu Kila mwezi.
Lakini June alipata kazi ya ualimu akapangiwa vijinini akaomba likizo ya miezi mitatu kazini akaenda kureport Sasa amerudi anasema mazingira magumu anataka aache ualimu arudi kazini Mimi nimeshindwa kumshauri chochote Kwa kuwa
Kwanza sijui mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti ni shilingi ngapi
Pili sijajua ni jinsi gani au baada ya muda gani atapanda daraja
Tatu sijajua ni baada ya muda gani ataweza kupata uhamisho arudi mjini
Naomba mnisaidie muongozo ili niweze kujua namsaidiaje bila kukurupuka
Asanteni
Anasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiiiKama anatafuta job security abaki serikalini.
Kama anataka na yupo tayari kulazimishwa kuwa mpambanaji, aende kwenye kampuni binafsi. Huko hakuna kubembelezwa.
Kwahiyo hiyo 30 inamchengua[emoji23][emoji23][emoji23]Anasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiii
Hapo anahesabu na marupurupuKwahiyo hiyo 30 inamchengua[emoji23][emoji23][emoji23]
Serikalini mshahara unaweza ukawa mdogo, lakini hatakimbizwa mchakamchaka kama kwenye kampuni binafsi.Anasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiii