Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 141
Mianzin Arusha hoyeeeeJamn tumsaidie mwenzetu anamtoto wa miezi miwili sasa leo kafanya mapenz na MKE wake na kamwagia ndani hiv ataweza kupata mimba?*
Na je akitumia p2 kuzuia mimba haitakuwa na madhara kwa mwanaye.
Toka ajifungue ameshapata hedhi? kama amepata na yupo kwenye siku za hatari anaweza shika mimbaJamn tumsaidie mwenzetu anamtoto wa miezi miwili sasa leo kafanya mapenz na MKE wake na kamwagia ndani hiv ataweza kupata mimba?*
Na je akitumia p2 kuzuia mimba haitakuwa na madhara kwa mwanaye.
Toa ushauri aweze kutuliaVyuo vimefunguliwa someni kwa bidii acheni kuandika ujinga mitandaoni