Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 141
Jamani tumsaidie mwenzetu.
Ana mtoto wa miezi miwili, sasa leo kafanya mapenz na mke wake na kamwagia ndani. Hivi ataweza kupata mimba? Na je akitumia P2 kuzuia mimba haitakuwa na madhara kwa mwanaye?