Ushauri unahitajika; Nina mimba, nimegundua baba kija anani-cheat na bestfriend yangu

Ushauri unahitajika; Nina mimba, nimegundua baba kija anani-cheat na bestfriend yangu

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,235
Reaction score
2,546
Am in dilemma sielewi nimelia hadi nimeshachoka, hapa nina mimba ya miezi kadhaa, nimegundua baba kija ananicheat na BEST FRIEND wangu.

Mimi na mwenzangu hatuishi mkoa mmoja kwasababu za kikazi, tunakaa mikoa tofauti, kumbe mwenzangu alivyokua Dar alikua anakula bata na huyo rafiki yangu wa karibu mnoo ni almost miezi mitatu sasa, nimegundua leo mchana

Yani hapa sielewi I’m in tears [emoji24][emoji24][emoji24]sijui nifanyaje. Japo wote wamekana ila kwa maelezo yao wote nimepata uhakika ni wana mawasiliano ya kimapenzi wanatumiana hadi hela

Ushauri jamani nifanyaje? Sijala tangu saa10 na sisikii njaa, roho inaniuma tu na j3 clinic[emoji24][emoji24]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe nenda clinic kwa amani , hayo mambo yapo sana tena sana . wewe sio wa kwanza kufanyiwa hivyo wala sio wa mwisho kifanyiwa hivyo.

Hakuana unachopoteza mume wako akiwa na mwanamke mwingine , na mara nyingi sana ni nadra mwanaume kuwa na mwanamke mmoja,kibaya ni kujua. kwa vile umejua potezea,mshirikishe Mungu yatapita tuu . lakini pole sana.
 
Asante dear, yani kilichoniuma zaidi ni rafiki yangu wa karibu mnoooo yani sanaaa na mpaka mapicha ya uchi wanatumiana
Nimejaribu nipotezee naona peke yangu siwezi moyo unaniuma sanaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante dear, yani kilichoniuma zaidi ni rafiki yangu wa karibu mnoooo yani sanaaa na mpaka mapicha ya uchi wanatumiana
Nimejaribu nipotezee naona peke yangu siwezi moyo unaniuma sanaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
pole tena, bahati mbaya wanawake nyie hampendani,ingawa hatujui ni nani mwanzilishi wa mahusiano kati ya mr wako ama rafiki yako. na hapo wewe unamlaumu rafiki yako, kumbuka yeye ni mwanamke , na mwamke anashawishiwa kwa hio usimlaumu moja kwa moja.

mimi naendelea kukusihi usiliweke sana moyoni isije kumuathiri mtoto kisaikolojia, pia kama mr ana kuhudumia mshukuru Mungu na kusonga mbele miss.
 
Pole mumie,
Jitahidi kuwa jasiri katika kipindi hiki kigumu unachokipitia, kwa lolote unalofanya, maamuzi yoyote unayochukua usiwaze kuhusu wewe, Hapana.! Muwazie kiumbe aliyeko tumboni asiye na hatia.!!

Ni kweli unaumia ila anayeumia zaidi ni malaika huyo maskiini..! Sitaki kuongelea usaliti wa rafiki yako na bbydady, ila wakati mwingine jitahidi kutokuamini yeyote kupitiliza itakuepusha na mengi mno.!!

Unajua nini mumie, unajua ni kwanini watoto tumboni tunabeba wanawake?? Sababu tumeumbwa kuwa jasiri my dear, sisi ni viumbe jasiri na wavumilivu mno.!

Just be strong for the sake of your baby, this is not the right time for stressing out sababu ya hao raia..! Jali afya yako na mwanao kwanza kwa sasa, halafu baada ya hapo ndiyo mkae mzungumze na baba mtoto wako.!!

Pole sana, nimeskia kuumia na kukuhurumia sana.! Usirudie kuwaweka rafiki zako karibu na mumeo utaumia sana, this creatures are very very weak, wakishamaliza kile kichwa cha chini kinachowatuma kufanya, ndiyo kichwa cha juu sasa kinapata akili na majuto.!! Be strong this too shall pass dear.!

Men, Men..!! karma never miss an address just take your time to prepare his dinner..!!
 
Polee sana dada,

Unachokiexperience kinaumiza sana but with time na kumshirikisha Mungu utavuka,kuhusu swala la rafiki hapo huna rafiki.

Just do all you can for the sake of your Child na punguza stress isikuletee depression.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mumie,
Jitahidi kuwa jasiri katika kipindi hiki kigumu unachokipitia, kwa lolote unalofanya, maamuzi yoyote unayochukua usiwaze kuhusu wewe, Hapana.! Muwazie kiumbe aliyeko tumboni asiye na hatia.!!

Ni kweli unaumia ila anayeumia zaidi ni malaika huyo maskiini..! Sitaki kuongelea usaliti wa rafiki yako na bbydady, ila wakati mwingine jitahidi kutokuamini yeyote kupitiliza itakuepusha na mengi mno.!!

Unajua nini mumie, unajua ni kwanini watoto tumboni tunabeba wanawake?? Sababu tumeumbwa kuwa jasiri my dear, sisi ni viumbe jasiri na wavumilivu mno.!

Just be strong for the sake of your baby, this is not the right time for stressing out sababu ya hao raia..! Jali afya yako na mwanao kwanza kwa sasa, halafu baada ya hapo ndiyo mkae mzungumze na baba mtoto wako.!!

Pole sana, nimeskia kuumia na kukuhurumia sana.! Usirudie kuwaweka rafiki zako karibu na mumeo utaumia sana, this creatures are very very weak, wakishamaliza kile kichwa cha chini kinachowatuma kufanya, ndiyo kichwa cha juu sasa kinapata akili na majuto.!! Be strong this too shall pass dear.!

Men, Men..!! karma never miss an address just take your time to prepare his dinner..!!
Umeupita hadi Uzi wenyewe 😀😀
 
Hongera sana sana sanaaaaaa Pisi kali kwa kutarajia mtoto

Binafsi nafikiri the best thing you can do kwa sasa ni kutulia,ruhusu moyo wako kuumia na kutoa machungu uliyonayo kwa kulia ama namna yoyote unayotumia kuondoa stress kwa kipindi hiki

Kama utaamua kusamehe ama kutosamehe yote ni sawa kwasababu mwisho wa siku maisha lazima yaendelee with ama without baba mtoto

Ni muda wako sasa kusimama mwenyewe kwasababu hakuna namna yoyote ya kubadili ukweli uliopo,mtoto wako anakutegemea

Jipange,pambana....stay strong
Pole​
 
Umeupita hadi Uzi wenyewe 😀😀
Nimepata hasira na maumivu jamani, na hiyo hali hata huruma hana? Na the way dada wa watu alikuwa anamsifia mpenzi wake kwa uzuri humu ndani, this people are so shameless..!
 
Huyo jamaa inakuwaje anacheat wakati ana demu mzuri hivyo nicheki pm jtatu nkusindikize clinic
Ushadanganyika na avatar. Humu kuna watoto wakali sana lakini wana avatar za kawaida sana. Hawa wenye kuweka avatar zenye mvuto kuwazidi wai ni corona. Kuwa makini
 
Back
Top Bottom