ushauri unahitajika

ushauri unahitajika

Mipango yake baada ya kufanikiwa kugoma kuzaa ni ipi?

Au hofu yake ni kuzaa naee tu!
 
niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga

Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa amegoma kuzaa
Namshauri waungane wa form business partnership watatoboa unga unalipa
 
Chee so akishaa achana naye ndo inakuwaje
 
Ni kwa namna gani amegundua kwamba mumewe ni muuza unga...???
Hii ishu ni nzito na si nyepesi...
niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga

Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa amegoma kuzaa
 
#mavado huyu rafiki hataki kuzaa watoto wengine na mumewe mara baada ya kujua anajihusisha na biashara hiyo
 
#sk2016 anasema ana hofu rafiki mkubwa wa mumewe yuko ndani kwa hii biashara hivo anahofia kuzaa naye majukum ya watoto yakamuangukia
 
#mzee hofu kubwa alionayo ni kuhofia mumewe akishikwa huku ameachiwa watoto wengi anasema mmoja alienae hamshindi hata akiachwa leo
 
#prince mhando tamaa kivp boss? Alivyoolewa hakujua kayagundua ndani ya ndoa
 
niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga

Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa amegoma kuzaa
Nenda Polisi ukaombe ushauri, ila angalia usipigwe mpaka ukachakaa
 
Kuwa na misingi isiyokubalika katika dini ni miongoni mwa sababu zinazokubalika kwa mwanamke wa kiislam kutoa katika ndoa.

Mimi nahisi akae chini na mumewe na amueleze wazi kwamba amemjua ni muuza unga, hivyo aache hiyo biashara. Asaaa kheri mume anaweza akamuelewa wakaendelea na maisha mengine.

Ikiwa mume atakataa, namshauri ajiondoe kwenye hiyo ndoa haraka sana. Litakapokuja kubumburuka basi jamaa na mkewe na mtoto wao wataingia kwenye balaa kubwa sana.

Na wewe pia mtoa mada ndugu yangu nyakati zimebadilika. Angalia namna ya kuachana na hii ID maana wakikutafuta uisaidie jamhuri kuwaonyesha hugo rafiki ili wampate mumewe basi na wewe washakupotezea muda wako.
 
Hivi kidini hi ndoa ipo kweli?? Si in Mana mume analeta maitaji yaliyotokana na Haram hii imekaaje kidini

Upendo hauhoji
Tunakaa na majambaz itakuwa muuza ngada
 
Hivi kidini hi ndoa ipo kweli?? Si in Mana mume analeta maitaji yaliyotokana na Haram hii imekaaje kidini
Ndoa inakuwa ipo kama kawaida, ni mume tu anabeba dhimma ya kuilisha na kuivisha familia yake vya haramu.

Kuthibitisha hilo, atakapotubia na kurudi kwa mola wake hawatotakiwa kufunga ndoa tena.

Wallahu a'alam
 
ooh Sasa mbona umemshaur aachane na ndoa hiyo ikowa Allah anachukia talaka
 
#mzee hofu kubwa alionayo ni kuhofia mumewe akishikwa huku ameachiwa watoto wengi anasema mmoja alienae hamshindi hata akiachwa leo
Mwambie azae tu,akidakwa wewe so upo utamsaidia kulea au urafiki wenu ni kulana tu bila msaada?
 
Back
Top Bottom