Ushauri unahitajika tafadhali

we kama kenge anaekimbia mvua lkn anapenda kushinda kwenye dimbwi la maji
wote hamfai rudini kwa mola wenu.
 
wakuu naombeni ushauri

nilikua na msichana wangu (naweza kumwita mchumba) tulifikia hatua ya kutambulishana kwa

wazazi na kupata baraka zote, tulipanga kuanza taratibu za kupeleka mahari na katika kipindi cha zaidi ya miezi 7

hatukuwahi kufanya tendo la ndoa hadi mwanzoni mwa desemba 2011, tumeshiriki hilo tendo mara4 sasa

cha ajabu na kinachonifanya niandike hapa ni kitendo cha hivi majuzi wakati tuko kwenye game baada ya kuwa

tumepiga kinywaji cha kutosha demu alihamisha mtarimbo na kuupeleka rough road, nilikua muumini wa huo

mtandao kipindi cha nyuma lakini niliazimia kuuacha hivyo kwa kutumia uzoefu wangu niliendeleza game hadi

nikamaliza alifurahi sana akaomba turudie tena sasa jana kaja ghetto nikambana ni lini alianza hako kamchezo

hakunipa majibu ya maana zaidi ya kunituhumu na mimi kuwa ni mshirika wa mchezo husika, swali kwenu wadau ni

endelee nae ama nimpige chini sababu mapenzi nahisi yameanza kupungua nahisi kuna mtu atakua alimuanzishia

na ataendeleza.


Jf ishavamiwa! Nendeni mkaombe ushaur huko sodoma na Gomora hapa s ha2jui hyo tabia mbovu! Kaulizen raman kwa rusfa a.k.a shetan atawapa mpaka mtafka. Shindwenii! Uwii najuta kusoma thread hii. Nahs itakua imetoka kuzimu direct.
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe? Mwanamke yoyote au Mwanamme yoyote anaeweza kumvulia mtu nguo nje ya ndoa anaweza kutembea na yoyote wakati wowote. Ukipenda boga upende na mauwa yake.
 
Back
Top Bottom