Kaka menakushauri Nyoa tu kabisaaa sehemzako za makalio kwani 0713yako naiona kabisaaa italiwa soon pia mkeo hukumkuta bikra so nayeye wanamfukua jamaazake wakitambo mwishowake Ni ukimwi na taabu kwa watotowenu Kwanini usitulie na mkeo? Pichu kabisa Wewe toa uvundowako hapa.
Ni maoni yako ila sijasema km tunafanya ila ni siku ile tuu lkn kinachotokea tunapoonana ni kila mmoja kusisimka kimapenzi kwa hali ya juu sana, shida ndio ipo hapo,
Mmh hama tu hapo kama unaweza. Hiyo misisimko yenu itawapeleka pabaya. Mlishaachana ya nini kutamaniana?? Mshindeni shetani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Then epuka kuonana nae... Easy peasy.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Namuepuka sana mkuu ila mbaya hapa yeye kahamia karibu na home alafu huwa analazmisha tuwe tunaonana wkt nshamueleza sio vizuri kutokana na hali inayotukuta tukionana ila yeye hajali hilo anasema yupo tayari kwa lolote litakalojitokeza.
Natumaini umenielewa ni kuishiwa nguvu kwa namna gani sema tu unakwepa kunipa ushauri wa namna ya kuepuka hili.
mnaishiwa nguvu,mnawezaje kuvunja amri ya sita?
ushauri gani kaka yangu wakati unacheza na moto,nyie subirieni kufumaniwa na kutolewa kwenye magazeti ya udaku,accept the reality kuwa huyo si wako tena,mtoe akilini,kaa nae mbali,muogope kama ukimwi,block namba zake kwenye simu yako
Usihame wala nini acha uwoga kukimbia mtaa kwasababu ya mwanamke tena wife wa mtu. We tulia hapo muelezane ukweli kwamba mtulie na ndoa zenu.
Cpendi hayo ya udaku yanikute ndio mana nimekuja hapa mnisaidie, ndani ya miaka 8 tumeonana kwa vpindi vinne tofauti na nlikua najitahidi kumkwepa na hadi sasa na nlikua nabadili line sababu ya usumbufu wake. Kuhamia karibu na nnapoishi ndio tatizo limezidi