muima
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 276
- 66
You can read p'ple's minds eeh...?
You took this peace from my head.
Nimewaza hayo hayo.
You can read p'ple's minds eeh...?
You took this peace from my head.
hawa ndio wanatamani sketi za.shule, sijui kwa nini hawawashonei wake zao.
kwel kila siku kuna jipya mmu...wewe umeoa na yeye ameolewa lakini mkionana mnaishiwa nguvu hahahahahahhahahaaa tafuteni Energizers ili msiwe mnaishiwa nguvu
Na hawa ndio wanaoharibu soko la kina single Mother.
Hapa ndio naonaga bora watu wakiachana waachane kwa chuki na wawe maadui tu ikiwezekana milele.
Mkuu km umesoma vizuri cjasema namtamani ila ni hali huwa inajitokeza yenyewe tuu na najaribu kupingana nayo sana ila kwa sasa nahisi kupata wakati mgumu sababu huyu mtu kahamia jirani na ninapoishi afu mbaya zaidi mumewe cmjui hata kwa sura ila yeye ananifaham vizuri sana hadi ninapofanyia kazi.
Sasa kama ana mume wake mbona unamtafuna? I dont know kama I am too old for this au wewe you are too young for such things, as kama mwanaume, tena mume wa mtu it's shame kuwa weak kwa zilipendwa/ex wako!Nimekuja hapa nipate mbinu zaidi za kulinda ndoa yangu na sio kwamba nataka niwe nae istoshe ana mme wake pia ishu ni tukionana tuu ni kosa tunajikuta tunatamaniana sana hata kama upite mda gani hali inakua hiyohiyo.
Sasa kama ana mume wake mbona unamtafuna? I dont know kama I am too old for this au wewe you are too young for such things, as kama mwanaume, tena mume wa mtu it's shame kuwa weak kwa zilipendwa/ex wako!
Hebu acha kujilegeza, be a man, respect your marriage please! !
Hiyo ya kuishiwa nguvu iko poa sana kwa itamrahisishia mume wake kazi ya kukufumua sketi!