focus na ndoa yako ,huko kwa mchaga unafosi tu kupendwa ,ni vile akili yako haitaki kuukubali ukweli.
Komaa na mumeo alikuheshimisha ,ni zamu yako now kumrudisha kwenye mstari..kwa maombi au vyovyote vile ili mradi umlinde na usimamie nafasi yako kama mke .