kama kujiua mbona angeshajiua tangu hiyo may..bhana..halafu ukimng'ang'ania mwanamke anakuona boya...pili hawezi kuonesha mapenzi kama yale alokua anakuonesha mwanzoni..sababu mapenzi hayalazishwi..nilishawahi force lakini ishu ikwa sio kivile nikapotezea..sasa hivi nafeel vizuri ajabu...kama vipi jamaa ajitahidi tu aaachane nae manzi..unapong'ang'ania mwanmke unajinyima chance ya kupata wengine coz ur still stuck in the dark...Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana
Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana
wamejenga nyumba mbili pamoja moja ipo Dar moja Kijijini kwa mwanaume. mwanaume anaishi kwenye nyumba ya Dar, mwanamke anaishi kwa wazazi wake.
Tangu 2010 mahusiano yamekuwa ni machungu kwa mwanamke mana alikuwa akipaa lugha za kejeli, matusi, vipigo na kutojaliwa. wameacha zaidi ya mara tano na kurudiana.
Kuna kipindi mwanamke aliambiwa hakupendwa, aliumia akalia lakini bado alimsamehe. wakaendelea.
katika siku saba za wiki watafurahi kwa siku moja au nusu siku the rest ni maumivu kwa mwanamke.
sometime mwanamke alikuwa akimuambia kuwa atachoka,lakini kidume atasema "utaenda wapi wewe", "mie siachwi".na maneno kedekede ya kejeli. akiombwa waongee anasema "wimbo wa taifa"
sasa mwanamke kachoka amemuacha huyu kijana tangu mwaka jana May lakini kidume kilijua ndo yaleyale atarudi tu.mpaka navyoandika hapa mwanamke kashikilia msimamo wake.
kuna usemi unasemwa 'what goes around come around'. ndo yanayomkumba mwanaume sasa.kapita kwa ndugu wote, rafiki wote,anamfwata nyumbani na kazini, bi dada hamtaki.kafikia hatua ya kulia kama mtoto aliyepigwa,bi dada wapii.sasa kafikia hatua mbaya ya kusema atajiua. je anaweza kujiua kweli au mkwala, je amtafutie watu wa kuongea nae au nini afanye?ni maswali anajiuliza bi dada hapati jibu. ndo nimeamua kuleta jamvini, mana Hapo bi dada kaogopa, hajui afanyeje,mana hataki kurudi mana anasema aliteseka sana, na amepata anayemthamini na kumpenda kwa dhati.
Anahitaji ushauri wenu wa busara wajameni.
Kama hivyo ndivyo basi tena, haina haja basi, amwambie wazi kuwa haiwezekani na nakuhakikishia jamaa hawezi kujiua.
Sorry niulize, bidada kashapata pumziko lingine la moyo nini?
Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana
Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana
wamejenga nyumba mbili pamoja moja ipo Dar moja Kijijini kwa mwanaume. mwanaume anaishi kwenye nyumba ya Dar, mwanamke anaishi kwa wazazi wake.
Tangu 2010 mahusiano yamekuwa ni machungu kwa mwanamke mana alikuwa akipaa lugha za kejeli, matusi, vipigo na kutojaliwa. wameacha zaidi ya mara tano na kurudiana.
Kuna kipindi mwanamke aliambiwa hakupendwa, aliumia akalia lakini bado alimsamehe. wakaendelea.
katika siku saba za wiki watafurahi kwa siku moja au nusu siku the rest ni maumivu kwa mwanamke.
sometime mwanamke alikuwa akimuambia kuwa atachoka,lakini kidume atasema "utaenda wapi wewe", "mie siachwi".na maneno kedekede ya kejeli. akiombwa waongee anasema "wimbo wa taifa"
sasa mwanamke kachoka amemuacha huyu kijana tangu mwaka jana May lakini kidume kilijua ndo yaleyale atarudi tu.mpaka navyoandika hapa mwanamke kashikilia msimamo wake.
kuna usemi unasemwa 'what goes around come around'. ndo yanayomkumba mwanaume sasa.kapita kwa ndugu wote, rafiki wote,anamfwata nyumbani na kazini, bi dada hamtaki.kafikia hatua ya kulia kama mtoto aliyepigwa,bi dada wapii.sasa kafikia hatua mbaya ya kusema atajiua. je anaweza kujiua kweli au mkwala, je amtafutie watu wa kuongea nae au nini afanye?ni maswali anajiuliza bi dada hapati jibu. ndo nimeamua kuleta jamvini, mana Hapo bi dada kaogopa, hajui afanyeje,mana hataki kurudi mana anasema aliteseka sana, na amepata anayemthamini na kumpenda kwa dhati.
Anahitaji ushauri wenu wa busara wajameni.
hahaha ulijuajee,kapata na jamaa yuko serious anataka kuchukua jumla keshampeleka kwao na anategemea kumvalisha pete, sasa kero za baba mtoto zinamuweka njia panda bidada
kama ame baki na nyumba zote mbili sio mbaya abaki nazo tu mbona ndio poa yaani ame achwa na mali hiyo ndio fresh mm napenda wana wake wanamna hiyo