Mkuu hauna kifaa hapo , tafuta kifaa.
Yaani hiyo processor ni ya kizamani bila shaka inacheza na intel hd graphic 3000 mara mia ungeanzia 4th gen na RAM 8gb minimum.Kama unapenda intel based system.
CPU yako ina support hiyo HD 3000 na kibaya zaidi hii graphic card ni integrated huwezi upgrade labda ununue mazabode inayo support HD 4000 na processor itatakiwa i support hiyo HD 4000 yaani processor za third generation na kuendelea ama wauzie hiyo ngoma madogo wa chuo, kisha ongeza pesa mpaka laki tano-saba hivi kimasikini utakuwa kwenye levo inayoridhisha.yeah inacheza na hd graphic 3000 kwan haiwezekani kuiUpgrade mpaka hd graphic 4000
CPU yako ina support hiyo HD 3000 na kibaya zaidi hii graphic card ni integrated huwezi upgrade labda ununue mazabode inayo support HD 4000 na processor itatakiwa i support hiyo HD 4000 yaani processor za third generation na kuendelea ama wauzie hiyo ngoma madogo wa chuo, kisha ongeza pesa mpaka laki tano-saba hivi kimasikini utakuwa kwenye levo inayoridhisha.
Kama hauna mkwanja mrefu sio lazima ununue mpya kuna used kibao ziko fresh tu kwa bei hiyo
NB; unapocheza na vitu vya graphics vinakula RAM sana hivyo atleast ukiwa na 8gb RAM kwenye system yako na graphic card nzuri itasaidia simaanishi ununue RAM KWENYE HIYO NGOMA YAKO ITAKUSUMBUA TU.

Hapo anakuwa limited mkuu, leo hii tuna Adobe Photoshop 2021 + AI zina feature bomba na inahitaji new updated os hata programza 3d kama cinema4d ziko na feature nzuri sasa si atakuwa limited na hiyo hardwareAlternative eke programs za kizamani, tafuta version za nyuma miaka 9 iliopita. Mfano kwa Adobe cs3 mpaka cs5 hivi, video editor weka za quicksync, etc
Nimempa tu alternative ye mwenyewe aangalie matumizi yake, kama haiwezi kufanya itabidi afanye upgrade.Hapo anakuwa limited mkuu, leo hii tuna Adobe Photoshop 2021 + AI zina feature bomba na inahitaji new updated os hata programza 3d kama cinema4d ziko na feature nzuri sasa si atakuwa limited na hiyo hardware
Nimempa tu alternative ye mwenyewe aangalie matumizi yake, kama haiwezi kufanya itabidi afanye upgrade.
Chief
Tafuta Dell XPS 15 iko Bomba
Kwenye graphics..!
Nimewahi. Itumia Sana.. hizo MacBook sometimes no za ubishoo kwenye hizo Mambo ,hata Kuna games hazi run ipasavyo full ku stack !
kweli Ina muonekano Bomba na Ile touch pad yakekweli mkuu kitu kina muonekano mzuri kinyama ngoja nitafute mteja ambae ni mpenzi wa seazon akaenjoy
Sasa unakutatu ana macbook ya miaka 9 iliyopita halafu unataka icompare na dell ya miaka 3 iliyopita halafu useme dell ni bora si kituko hicho.Chief
Tafuta Dell XPS 15 iko Bomba
Kwenye graphics..!
Nimewahi. Itumia Sana.. hizo MacBook sometimes no za ubishoo kwenye hizo Mambo ,hata Kuna games hazi run ipasavyo full ku stack !
unamaanisha Dell XPS 15 na hiyo Mac kwamba Dell Ni ndogo au ?Sasa unakutatu ana macbook ya miaka 9 iliyopita halafu unataka icompare na dell ya miaka 3 iliyopita halafu useme dell ni bora si kituko hicho.