Jana rafiki yangu kanipigia simu kuniomba ushauri kuhusu kutokuelewana na mkewe wa ndoa kuhusu simu ya mkononi,jamaa ni mfanyakazi mwajiriwa na mama nimfanya biashara na biashara yenyewe ni jamaa mwenyewe katoa mtaji,sasa anasema usiku wa jumamosi kuamkia jana jumapili mkewe aliingia bafuni yeye akawa yupo kitandani, akachukua simu ya mkewe na kuanza kusoma sms,mama alipo toka bafuni akakuta mzee anasoma sms,mkewe akamuuliza mbona unapenda sana kupekua simu yangu?jamaa naye akamuuliza kwani niipekua kuna shida gani?asema mkewe alikuja juu na kumuonya siku akikuta ameshika simu yake tena na anaipekua ataivunja hiyo simu,sasa jamaa ndo kaja kwangu kuniomba ushauri yeye anasema kweli mke wake ni mwaminifu tena kama mwanzo?hakuna lililojificha ndani hapo?hivyo kabla sijampa ushauri nikaona ni vema na mimi niwashirikishe,hiki kisa ni cha kweli kabisa hivyo ushauri uwe wa kweli ni watu wapo ndani ya ndoa kwa miaka kumi sasa,asanteni
yan ndugu yangu acha tuRose Umenena Kweli kabisaaa...Shida watu Sio Waaminifu kenye ndoa,Wengi wanaingia kwenye ndoa kwa malengo.Kama sio kuwa na status ya Kuwa married basi itakuwa Mali.Ila Marriage is all about Devotion,trust and TRUE LOVE.
kama Kuna trust we mtu akiigusa simu yako mshipa unakushtuka nini?Hata kama msg imeingia kwa wrong Number Unajitetea bila kuyumba.Mwnagalie mtu anaye jitetea kwa kudanganya na anaye jitetea ile kweli.Kuna marginal difference.
@Mike
Kama Jamaa na mkewe wamekuwa Mwili mmoja basi Hakuna limitations! ukiona limit ujue kuna Piracy hapo!
ndo swali nilimuuliza akasema kuna siku alikuwa anasoma sms akakuta jamaa kamwandikia sms njoo tupate kinywaji mkewe akamjibu jamaa nipo home na bossKwa nini apekue simu wife akiwa ametoka?
Ila mambo mengine bwana lol ina maana ana wasi wasi na mkewe .?
hapo hatukupi hata ushauri mana wewe na rafki yako wote ni wapumbavu sasa hapo mwanamke ana tatzo gani?? Kwan kamfumania?? Mwanaume kazi kumpekua mkeo 2 na kulalama kwa wanaume wenzio..
Ngoja ao anaowapelekea mashitaka wamlie mkewe ndo atajua nie anaowaletea matatzo yake na mkwe ni kina nan...
Yan badala akae aongee na mkewe ndani kwa upole na hekima..
ata biblia yasema mtu akikukosea umwite kwa upole na unyenyekevu usimsemeseme hovyo kwa watu...
kukujibu ni makosa maana unadandia treni kwa mbelehapo hatukupi hata ushauri mana wewe na rafki yako wote ni wapumbavu sasa hapo mwanamke ana tatzo gani?? Kwan kamfumania?? Mwanaume kazi kumpekua mkeo 2 na kulalama kwa wanaume wenzio..
Ngoja ao anaowapelekea mashitaka wamlie mkewe ndo atajua nie anaowaletea matatzo yake na mkwe ni kina nan...
Yan badala akae aongee na mkewe ndani kwa upole na hekima..
ata biblia yasema mtu akikukosea umwite kwa upole na unyenyekevu usimsemeseme hovyo kwa watu...
kwanza kutukana siyo sehemu yake hapa tafuta sehemu hili jamvi halikufai kwanza posts ni 36 ni jinsi gani ulivyo mgenihapo hatukupi hata ushauri mana wewe na rafki yako wote ni wapumbavu sasa hapo mwanamke ana tatzo gani?? Kwan kamfumania?? Mwanaume kazi kumpekua mkeo 2 na kulalama kwa wanaume wenzio..
Ngoja ao anaowapelekea mashitaka wamlie mkewe ndo atajua nie anaowaletea matatzo yake na mkwe ni kina nan...
Yan badala akae aongee na mkewe ndani kwa upole na hekima..
ata biblia yasema mtu akikukosea umwite kwa upole na unyenyekevu usimsemeseme hovyo kwa watu...
ushauri wako mzuri sana na nimeupendayan ndugu yangu acha tu
minapingaga saaana
mpe uhuru mwenzako km akitaka kuchek au kushka tu simu mwache ..shda ipo wap km hauna madudu
kwanza ukiwa hauna wasiwasi na upo huru na simu yako mwenzako na yeye hatakuwa na hamu na hamu ya kushika simu yakolakin weew ukienda kuoga sabun simu unayo ,unaosha vyombo simu unayo yan simu haiwekw chn apo mwenzako lazm atataka kujua kuna nini kwenye cm????
jaribu kuwa huru na simu ...KM UNAJIAMINI LAKIN KM UNA VMEO 10 KDG BASI ENDELEA KUFICHA SIMU KWENYE BOKSA SJUI KWENYE SIDIRIA MNAJUANA WENYEWE
ivi jaman km umeamua kuwa na uyu sasa kinachokusibu kupeleka bailojia nje tena nini???pls usnambie NATURE
MNAFICHA SIMU KWA KIGEZO CHA UPRAIVET SJUI UPRAIVESI ILI MUWEZE KUENDELEZA UJINGA BILA KUSHTUKIWA...achen izo ..chagua baiolojia moja gandana nayo na kwaili utakuwa huru na simu yako, hali itakayompelekea asiwe anairukia simu yako kila anapoiona cz anajua hakuna kitu....!!!!!!!!!
ni kweli maana anasema kuna siku alishawahi kukuta sms anakaribishwa kinywaji na kumjibu huyo mtu yupo nyumbani na boss badala hata ya kusema mume wanguHapo kuna kitu kimejificha haiwezekani kuwa na masharti katika matumizi ya simu kati ya mume na mke. Huyo mama huenda kuna jambo anaficha jamaa asigundue kupitia simu yake.