Na ule ushenzi wako wote hapa umegonga mwamba🤓Duuuh, ngoja nipite hivi nasoma comment
Hii mada ina wenyewe ngoja waje kutoa ushauri wao mimi nitakua nasoma commentNa ule ushenzi wako wote hapa umegonga mwamba🤓
Moto na ushuke kutoka mbinguni uyaangamize yote yenye akili za kipimbi kama hizo.Kiuhalisia ni ngumu kwa huyo mwanamke kulipokea hilo jambo akikumbuka jamaa anavyo ililia anaweza kufa akiwa usingizini,
Ngumu mzee wanguMoto na ushuke kutoka mbinguni uyaangamize yote yenye akili za kipimbi kama hizo.
Imani ni nguzo ya mafanikio anyway vijana wamepoteana kwa kweli.Ngumu mzee wangu
Mambo haya yapo sana mkuu!Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,
Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,
Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Hizi mambo zipo bwashee kuna case moja huyo dada mume wake alikua mchungaji wa kanisa x , ila alikua mchicha mwiba , mke wake aligundua ila ushahidi ukakosekana .Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,
Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,
Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Bwashee kwa kisa hiki,hao wana ndoa hata wakiendelea kuishi pamoja,hakuna tena upendo kati yao wala hawawezi kuja kuaminiana tena,Hizi mambo zipo bwashee kuna case moja huyo dada mume wake alikua mchungaji wa kanisa x , ila alikua mchicha mwiba , mke wake aligundua ila ushahidi ukakosekana .
Alitamani kuvunja ndoa ila ilikua ngumu sana kutokana na kuwa mme wake ni mchungaji na ushahidi hana na akifanya hivyo maana yake ,mume wake atakosa kazi na malezi ya watoto yatakua magumu, kutokana na yeye kuwa mama wa nyumbani tu🤔
Kisa hiki nilisimuliwa na huyo dada , na sio za kufikirika bwashee.