Mr Kiroboto
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 350
- 87
Mkuu kama ina install error hiyo huwa inatokea kama hiyo cd ni mbovu inaonyesha anajaribu kukopy files halafu akiona haziingii ana excape kwahiyo baadhi ya files haziingii hiyo ni moja
pili mwambie aangalie configuration za sata kama hiyo lenovo ina setting tofauti katika hdd yake kama ni sata .
Tumia cd ya windows xp ambayo ni genuine haitokuletea tabu yoyote kama hardware za komputer yako ziko poa na hakuna shida nyingine yoyote ile
mwisho kuna tofauti ya kuinstall desktop na laptop haswa likija hilo suala la sate configurations kama utahitajika kufanya hivyo ingawa hii sana iko katika computer za acer
usiku mwema
i had the same problem, but i managed to solve it. kuna option iko kwenye bios lakini siikumbuki mpaka niwe na laptop ya lenovo karibu. but sina laptop ya lenovo kwa sasa, niko na dell. if u havent got the solution, and u r in dar es salaam, unaweza nitafuta. i wont charge u much. labda nauli tu. nitafute kwa 0715 010408
wakuu heshima mbele
ni kweli kabisa drives zilikuwa zinamatatizo,kijana amefanikiwa kubadili na ameshainstall window xp hivi sasa ipo safi kabisa
shukrani kwa wakuu wote hapa jamvini walioshiriki kuchangia mawazo katika hii thread
Thanx wakuu
mr. kiroboto na wengineo.
ukipata tatizo kama hili tena either CD uliyonayo ina matatizo na ndio maana some files are not copied ( inawezekana ni kwa sababu imetumika sana na pia inawezekana sio genuine). sababu nyingine ni kuwa CD drive yako inashindwa kusom vizuri hiyo OS CD na ndio maana some files are not copies na hata wakati mwingine inaweza kukuchukua masaa kadhaa kabla hujamaliza installation.
sabau ya tatu ni hiyo ya drivers hasa kama unatumia SATA hard disk. na solution yake ni kutafuta drivers kama walivyoshauri wenzangu.
Ushauri wa mwisho kwa mnunuao laptops madukani au desktop PC mpya kumbuka CD zenye drivers ni haki yako kwa hiyo hakikisha unapewa CD hizo ili hata ukipata shida tunaweza tu kukuelekeza jinsi ya kuinstall hizo drivers badala ya kuanza kuhangaika utapataje drivers.
Weekend njema na tunafurahi kwa kuwa tatizo lako limetatuliwa.