Ushauri unahitajika hapa

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
May 3, 2008
350
87
HESHIMA MBELE WAKUU
Kuna kijana amenunuliwa laptop(lenovo),laptop hii ilikuwa tayari inatumia window vista,sasa kijana haitaji hii vista badala yake anahitaji window xp.Window xp anayo ila tatizo ni kwamba kila anapojaribu kuinstall huwa inagoma.Uanza vizuri ila kabla ya kumaliza kukopy file huwa kuna messege inakuja inasomeka kuwa " A problem has been detected and window has been shut down to prevent damage to your computer.If this is the first time you have seen this stop error screen,restart your computer,if the screen appears again,follow these steps,check for virus on your computer,Remove any newly installed hard drive or hard drive controler,check your hard drive to make sure it properly configured and terminated" wakuu yote yamefanywa hayo ila tatizo lipo palepale.

sasa wakuu wenye utaalamu wa haya mambo naomba ushauri nini kifanyIKe hapa pia kama kuna tofauti yeyote katika kuinstall window xp katika desktop na katika laptop,ni hivyo tu wakuu

ndimi mwenzenu mr kiroboto aka mjukuu wa msolopa
 
Last edited:
Mkuu kama ina install error hiyo huwa inatokea kama hiyo cd ni mbovu inaonyesha anajaribu kukopy files halafu akiona haziingii ana excape kwahiyo baadhi ya files haziingii hiyo ni moja

pili mwambie aangalie configuration za sata kama hiyo lenovo ina setting tofauti katika hdd yake kama ni sata .

Tumia cd ya windows xp ambayo ni genuine haitokuletea tabu yoyote kama hardware za komputer yako ziko poa na hakuna shida nyingine yoyote ile

mwisho kuna tofauti ya kuinstall desktop na laptop haswa likija hilo suala la sate configurations kama utahitajika kufanya hivyo ingawa hii sana iko katika computer za acer

usiku mwema
 
i had the same problem, but i managed to solve it. kuna option iko kwenye bios lakini siikumbuki mpaka niwe na laptop ya lenovo karibu. but sina laptop ya lenovo kwa sasa, niko na dell. if u havent got the solution, and u r in dar es salaam, unaweza nitafuta. i wont charge u much. labda nauli tu. nitafute kwa 0715 010408
 
Hiyo ndio sata niliyokuwa naongelea hapo juu kuna setting fulani inabidi uweke ili windows xp iweze kuwa installed kama hdd yako ni sata ila kwa windows vista hakuna shida

au upate windows xp ambayo ina driver za sata kama viena or trojan
 
Mkuu kama ina install error hiyo huwa inatokea kama hiyo cd ni mbovu inaonyesha anajaribu kukopy files halafu akiona haziingii ana excape kwahiyo baadhi ya files haziingii hiyo ni moja

pili mwambie aangalie configuration za sata kama hiyo lenovo ina setting tofauti katika hdd yake kama ni sata .

Tumia cd ya windows xp ambayo ni genuine haitokuletea tabu yoyote kama hardware za komputer yako ziko poa na hakuna shida nyingine yoyote ile

mwisho kuna tofauti ya kuinstall desktop na laptop haswa likija hilo suala la sate configurations kama utahitajika kufanya hivyo ingawa hii sana iko katika computer za acer

usiku mwema

mkuu shy shukran
mkuu ni kweli inaconfuguration za SATA na isitoshe window xp anayotumia siyo guinine,ngoja nimfahamishe ili apate guinine
 
i had the same problem, but i managed to solve it. kuna option iko kwenye bios lakini siikumbuki mpaka niwe na laptop ya lenovo karibu. but sina laptop ya lenovo kwa sasa, niko na dell. if u havent got the solution, and u r in dar es salaam, unaweza nitafuta. i wont charge u much. labda nauli tu. nitafute kwa 0715 010408

mkuu mdoe
nashukuru kwa ushauri wako,ningekutafuta ila dah mie nipo huku chanika(ughaibuni).akhsante mkuu
 
nimerudi tena wakuu
mkuu shy,window xp guinine yule kijana ameipata ila bado nayo inasumbua,ila kuna jamaa mmoja anadai inawezekana drives zina matatizo,ngoja nikimbilie pale nilipompatia kijana hii laptop ili nibadili drives then ntarudi tena
 
KIROBOTO UWE TECHNICAL KATIKA KUULIZA MASWALI UNAVYOSEMA BADO INASUMBUA INASUMBUA NINI ? KAMA NI DRIVER NENDA KATIKA TOVUTI YA LENOVO Lenovo select a country/region AU IBM - United States utapata driver zake zote unazotaka kitu kingine unaweza kutumia driver magician software hiyo inaweza kusearch comp yako na kukupa links za driver ambazo ziko compatible na computer yako

SASA KAMA HAUTOPATA DRIVER AMBAZO NI COMPATIBLE NA WINDOWS XP HILO NI SUALA LINGINE KAMA UMENUNUA DUKANI HIYO LAPTOP WAULIZE HAPO DUKANI
 
Ingia kwenye BIOS disable SATA. Wakati pc inaboot inasema kitu kama "press Delete to enter setup" fanya hivyo, tafuta sehemu ya SATA kwenye Bios, disable SATA. Install XP.
 
wakuu heshima mbele
ni kweli kabisa drives zilikuwa zinamatatizo,kijana amefanikiwa kubadili na ameshainstall window xp hivi sasa ipo safi kabisa
shukrani kwa wakuu wote hapa jamvini walioshiriki kuchangia mawazo katika hii thread
Thanx wakuu
 
mr. kiroboto na wengineo.

ukipata tatizo kama hili tena either CD uliyonayo ina matatizo na ndio maana some files are not copied ( inawezekana ni kwa sababu imetumika sana na pia inawezekana sio genuine). sababu nyingine ni kuwa CD drive yako inashindwa kusom vizuri hiyo OS CD na ndio maana some files are not copies na hata wakati mwingine inaweza kukuchukua masaa kadhaa kabla hujamaliza installation.
sabau ya tatu ni hiyo ya drivers hasa kama unatumia SATA hard disk. na solution yake ni kutafuta drivers kama walivyoshauri wenzangu.
Ushauri wa mwisho kwa mnunuao laptops madukani au desktop PC mpya kumbuka CD zenye drivers ni haki yako kwa hiyo hakikisha unapewa CD hizo ili hata ukipata shida tunaweza tu kukuelekeza jinsi ya kuinstall hizo drivers badala ya kuanza kuhangaika utapataje drivers.
Weekend njema na tunafurahi kwa kuwa tatizo lako limetatuliwa.
 
akhsante mkuu johnj
 
Back
Top Bottom