Kwa msisi yetu
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 826
- 1,410
Dah mawazo ya wabongo ni shida,unachopaswa kuelewa ni kwamba hakuna mkamilifu hapa duniani,kuomba ushauri kwa watu siyo ujinga ujue, ni mara ngapi tunashuhudia maprof na ma dr wakifanya mambao ya kipuuzi kabisa, hao siyo wasomi? Kuwa msomi haikuondolei sifa ya binadamu dhaifu ukaanza kudharau watu,tombana onyanda 😂😂😂Yaani mtu msomi mwenye shahada ya kwanza na ajira juu tayari bado hajui anataka kufanya nini maishani mwake mpaka uje kumuombea ushauri humu?
mdogo wangu ananifata mara ya nne,ni wa 1992 mkuuni mdogo wako au wewe mwenyewe mkuu?
Sioni shida iko wapi. Geography na Economics ni teaching subjects zake. Tayari ana degree ya ualimu, sasa kama anataka kulala mbele na Economics au Geography bado atakuwa kwenye line yake na hapo ndipo kwa kutokea. Hivyo anaweza akafanya Master of Arts or Science in Economics au Geography (sioni kwa nini wizara ilete shida). Akifanikiwa anarudi kufundisha na nafasi ikipatikana nje ya teaching ikibidi afanye maamuzi magumu anafanya.Naomba ushauri, kuna mdogo wangu yeye ni Mwalimu wa Sekondari alimaliza Chuo Kikuu SAUT mwaka 2014 na kuajiriwa Serikalini mwaka uliofuata 2015, alichukua Education Masomo ni Economics & Geography.
Mwaka kesho amepanga kwenda kusoma Shahada ya Pili, akanifata kuniomba ushauri akasomee nini ikizingawa kuwa yeye tayari ni mwajiriwa-mwalimu.
Mkuu Makerere kukoje? Accommodation vipi kuna hostel palepale chuoni? Vipi suala la application si hadi afike chuoni? Au kuna application online? Atalipiaje fomu?Aje Makerere mkuu nimpokee, shida ni kwamba as long as ameajiriwa kama mwalimu, akienda soma kitu nje ya ualimu watamsumbua kazini mana mara nyingi hawaruhusu, inaweza pelekea akisitishiwa mshahara! Ila kama hilo c ttzo, agonge masters ya uchumi tu mkuu
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu, application unaingia web ya chuo...rooms ndani na out of campus zakumwaga, mkaribishe mkuu hatajutiaMkuu Makerere kukoje? Accommodation vipi kuna hostel palepale chuoni? Vipi suala la application si hadi afike chuoni? Au kuna application online? Atalipiaje fomu?
Mkuu naomba namba yako ya WhatsApp pmHapana mkuu, application unaingia web ya chuo...rooms ndani na out of campus zakumwaga, mkaribishe mkuu hatajutia
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app