Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

Mkuu punguza pressure si unaona hadi umekosea kuandika, ila pole jaribu kukaa nae chini umrekebishe kama itashindikana tumia waty wako wa karibu
Swala la kuwachukia nduguzo no baya kuliko most women hawajui kuwa ukiolewa umeolewa na familia nzima ya mwanaume, ulishakosea kuchagua tangu mwanzo jaribu tu kutafuta namna ya kumfunza, kwa maana hakuna namna nyingine
 
Ulimpa mimba bila kutarajia au ni watu mlikuwa wachumba wa muda mrefu ss mkasomana vya kutosha mkaona heri mzae tu?? Au ulikurupuka tu?! jbu la hp ndio mtu anaweza akakushaur la kufanya. Maana hapo kweny maelezo yako yanachanganya "ulizaa nae ndio mkaanza kusomana tabia, mkiwa mnasomana tabia akawa tyr kashaanza kuonyesha tabia za ajbu," sielew vzur maelezo yako
 
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazazi bado anarudia, mfano wa hizo tabia ni;

Kukuibia fedha mfukoni, anatukana wazazi wako na ndugu ambao hata aishi nao, anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikii,hata mtoto wake hamjali, pesa za matumizi anabana kwa kupika vyakula vibaya.

Ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenzi, house girl hakai miezi miwili mdomo katika majirani **** sita haongei nao wabaya kwake nk, unachukua maamuzi gani kama ulishakaa nae chini hata mara kumi na zaidi bado habaliki kila siku heri ya jana?

Ushuri tafadhal
i
kWENYE NYEKUNDU: MAJIRANI WA AINA GANI HAo?????
 
nawashukuru wachangiaji bado nasubir ushaur uendelee kutolewa mwisho nitafanya maamuz
 
Back
Top Bottom