Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi...unaamua kuishi nae...wakati mnasomana tabia unamsaur aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazaz bado anarudia...mfano wa hizo tabia ni kukuibia fedha mfukoni,anatukana wazaz wako na ndugu ambao hata aishi nao,anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikiii,hata mtoto wake hamjali,pesa za matumiz anabana kwa kupika vyakula vibaya ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenz,house girl hakai miez miwili mdomo...ktk majiran kum sita haongei nao wabaya kwake nk...unachukua maamuz gan kama ulishakaa nae chini hata mara kum na zaid bado habaliki kila siku heri ya jana?????????????????????????ushur tafadhal
Mkuu pamabana tu huo ndo tayar ushakuwa mzigo wako...Nasema wanaume tunakazi yaani wacha usione tu mtu anatembea katoka nyumban lakin akikwambia yanayomsibu huwezi amini..Wanawake wako complicated mnooooo na usijidanaganye umwache huyo eti utapata ambaye na afadhali BIG NO! huwa wanabalika kimatatizo utamwacha huyo kwa sababu ABCDE utaoa mwingine utakuta yeye kachanganya tu herufi anamatatizo CEFH ambayo huyo uliokuwa nae hana....Kama ulifunga nae ndoa bila shaka ulikula kiapo utamlinda na kumjali kwenye shida na raha...Sasa hapo upo kwenye wakati wa shida rejea kiapo cha ndo life liende mbele.....Kero kero keroooooo hata mi huwa nachoka kabisa.
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazazi bado anarudia, mfano wa hizo tabia ni;
Kukuibia fedha mfukoni, anatukana wazazi wako na ndugu ambao hata aishi nao, anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikii,hata mtoto wake hamjali, pesa za matumizi anabana kwa kupika vyakula vibaya.
Ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenzi, house girl hakai miezi miwili mdomo katika majirani **** sita haongei nao wabaya kwake nk, unachukua maamuzi gani kama ulishakaa nae chini hata mara kumi na zaidi bado habaliki kila siku heri ya jana?
Ushuri tafadhali
Sina ndoa nae sababu ya hzo tabia