mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 257
- 456
The most important thing in life will always be family that's my opinion, stick to your family though it hurtsUnamimba ya mienzi nane unakuja kugundua mwanamke mwenzako anamimba ya mienz mitatu ya mwanaume huyo huyo uliyefunga naye ndoa..naomben ushauri nifanyaje nichukue maamuzi yapi
ha ha ha ha kumbe mnatujua tulivyo ila hamchoki kuja chezea sound wewevumilia tu ndio ndoa hiyo, wanaume wote baba mmoja na mama mmoja utaachana na huyo utampata mwingine malaya kuliko wa mwanzo! ila pole sana najua unavyojiskia.
Yan umeniwahi mkuu afate huo ushauri basiiPole kwa yaliyokukuta.
Maamuzi ya kuchukua ni
1.endelelea kuhudhuria kliniki
2.kula chakula chenye vitutubisho vyote na maji ya kutosha
3.anza kufanya maandalizi ya mtoto wako mzuri ajaye
4.pata muda wa kutosha wa kupumzika
Dada si lazima kila wakati uchukue hatua. Utajitesa wewe na huyo kiumbe. Kaa tulia.
Wew unamshauri niniDaah..pole sana dada kwa mtihani uliokukuta cha msingi ww lea mimba yako jizalie mtt wako vzur wakat wote hapo jiwekee na akiba yako kama mumeo yupo vzur mtt wako akifika miaka 2 tu sepa zako dada ukatafute maisha yako ndoa n watu wawili tu akizid watatu hyo sio ndoa bali n doa.Mtaanza kurogana hapo kila mtu amvute kwake huyo mwanaume n kwann upange folen ya mb**.... ww sepa ukaanze maisha yako ujifanyie biashara ndogo ndogo naiman Mungu atakusaidia.
Msindikize mke mwenzako hosipitalini akaitoe hiyo mimba fasta au toa yako maana hakuna jinsi tenaUnamimba ya mienzi nane unakuja kugundua mwanamke mwenzako anamimba ya mienz mitatu ya mwanaume huyo huyo uliyefunga naye ndoa..naomben ushauri nifanyaje nichukue maamuzi yapi
Wew unamshauri nini
Unajua ndoa ni nini
Kama hajaoa/kuolewa tulia ucvunje ndoa za watu.