Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba

mangosongoo

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
257
455
Unamimba ya miezi nane unakuja kugundua mwanamke mwenzako anamimba ya miezi mitatu ya mwanaume huyo huyo uliyefunga naye ndoa.

Naombeni ushauri nifanyaje nichukue maamuzi yapi.
 
zaa mtoto wako nae azae wa kwake mlee maana chochote tofaut na hcho kinaweza hatarisha maisha ya mtoto.
 
Duh ngumu hiyo. Kwanza pole binti singeli .

Pili, jitahidi - ingawa ni ngumu kweli - ila jitahidi kutokujipa stress hasa katika kipindi hiki cha uja uzito wako. Mengine mtayamaliza ukijifungua. Kama itasaidia ukae mbali naye kwa muda uliobaki walau ikuondolee maumivu utayojisikia ukimuona.

Kwa sasa, do all you can kwa ajili ya the unborn child.

Pole sana mwaego!
 
vumilia tu ndio ndoa hiyo, wanaume wote baba mmoja na mama mmoja utaachana na huyo utampata mwingine malaya kuliko wa mwanzo! ila pole sana najua unavyojiskia.
ha ha ha ha kumbe mnatujua tulivyo ila hamchoki kuja chezea sound wewe
 
Pole kwa yaliyokukuta.

Maamuzi ya kuchukua ni

1.endelelea kuhudhuria kliniki
2.kula chakula chenye vitutubisho vyote na maji ya kutosha
3.anza kufanya maandalizi ya mtoto wako mzuri ajaye
4.pata muda wa kutosha wa kupumzika

Dada si lazima kila wakati uchukue hatua. Utajitesa wewe na huyo kiumbe. Kaa tulia.
 
Yan umeniwahi mkuu afate huo ushauri basii
 
Daah..pole sana dada kwa mtihani uliokukuta cha msingi ww lea mimba yako jizalie mtt wako vzur wakat wote hapo jiwekee na akiba yako kama mumeo yupo vzur mtt wako akifika miaka 2 tu sepa zako dada ukatafute maisha yako ndoa n watu wawili tu akizid watatu hyo sio ndoa bali n doa.Mtaanza kurogana hapo kila mtu amvute kwake huyo mwanaume n kwann upange folen ya mb**.... ww sepa ukaanze maisha yako ujifanyie biashara ndogo ndogo naiman Mungu atakusaidia.
 
Wew lea mimba maana inaonyesha mimba yako ilipofika miez4-5 ulianza kuto kutoa show jamaa akacheza show za nje kwa mahesabu madogo

Fanya hivi (8-3,)=5 so makosa ulianza kumfanyia ukiwa na miez5#
 
Daah..pole sana dada kwa mtihani uliokukuta cha msingi ww lea mimba yako jizalie mtt wako vzur wakat wote hapo jiwekee na akiba yako kama mumeo yupo vzur mtt wako akifika miaka 2 tu sepa zako dada ukatafute maisha yako ndoa n watu wawili tu akizid watatu hyo sio ndoa bali n doa.Mtaanza kurogana hapo kila mtu amvute kwake huyo mwanaume n kwann upange folen ya mb**.... ww sepa ukaanze maisha yako ujifanyie biashara ndogo ndogo naiman Mungu atakusaidia.
Wew unamshauri nini

Unajua ndoa ni nini

Kama hajaoa/kuolewa tulia ucvunje ndoa za watu.
 
Unamimba ya mienzi nane unakuja kugundua mwanamke mwenzako anamimba ya mienz mitatu ya mwanaume huyo huyo uliyefunga naye ndoa..naomben ushauri nifanyaje nichukue maamuzi yapi
Msindikize mke mwenzako hosipitalini akaitoe hiyo mimba fasta au toa yako maana hakuna jinsi tena
 
Wew unamshauri nini

Unajua ndoa ni nini

Kama hajaoa/kuolewa tulia ucvunje ndoa za watu.

Ulichokiona hapo ndicho nilichomshaur na ndoa n watu wawili la hasha awe muslim akubali uke wenza..Hivi unadhan maumivu yake hapo n madogo eeeehh...Huyo dada ana moyo na sio jiwe na usiombe hlo jambo likupate unataman ardh ipasuke..Na endapo atakubal bas ajue ameukarbsha uke wenza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom