Ushauri :ukikosa mkopo usiache chuo

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
kwanza kabisa nawasalimu wote wana JF dhumuni langu leo hii ni kuwaelezea wenzangu wanaoanza chuo kuhusiana na kukosa mkopo.ninachowashauri jamani hata ukikosa mkopo usiache kusoma jitaidi hata uuze chochote uende chuo ukasome then ukifika huko ukishaanza first year utaanza kupewa boom na kiasi kidogo cha ela unakata kwenye ada na mambo yanasonga coz wanatakaga ulipe ada nusu kwa semister si yote na inawezekana,ngoja nikupe ushuhuda mimi binafsi ni mwka wa tatu sasa nasoma chuo na sina mkopo na bado najitaidi kusoma ivo ivo nilivoowaambieni usikate tamaa kwasababu nafasi hii watu wanaitafuta sana na usiichezee....siku nilipokosa mkopo niliumia sana na niliona labda mungu hanipendi na nilienda chuo nikijua kua sitapewa hata boom na katika kuuliza uliza nikaambiwa hata asilimia zero wanapewa boom na kweli nikapata na sina toafauti yoyote na wanachuo wengine tofauti yangu ni silipiwi ada tu na ela ya field sipewi basiii na ninakaa nje na maisha yanaenda kama kawaida. lamuhimu ukiwa haujapata mkopo usije ukajichanganya na kula eti hotelini na kwenda club utapotea wewe nunua jiko loa gesi uwe unajipikia utaona maisha yatakavokua matamu na utang'aa kinoma na uwe na uhusino na watu vizuri coz siku ukiwa umefulia watakupiga tafu ni hayo tu WANDUGU
 
bora wewe uliyepata 0% na wataopata NIL yaani hata hiyo 0% hama, hawa wala boom halambi, so na hapo unasemaje
 
bora wewe uliyepata 0% na wataopata nil yaani hata hiyo 0% hama, hawa wala boom halambi, so na hapo unasemaje

ukikosa kabisa na kama hakuna wa kukuwezesha ni kutafuta taasisi binafsi wakukope au uchangiwe no way out
 
Kaka mambo tofaut sasa hivi. Ukikosa mkopo ndo ujue hupewi chochote na bodi hata boom. Sa hv ni mwendo wa NIL tu,kafie mbele. Me mwenyewe nipo SUA sina mkopo,najipatia hela kwa kutengeneza mashine hapo ndo nasurvive.
 
EDUCATION najua utashangaa sana ila ndio ivo but nashukuru coz ndio namaliza na masters nitasoma kwa raha sna

kaka ebu nifahamishe unaposema utasoma kwa raha sana master's! Unamaanisha utakua na prevaledge gani vile?
 
kaka ebu nifahamishe unaposema utasoma kwa raha sana master's! Unamaanisha utakua na prevaledge gani vile?
swali liko wazi si nitakua sidaiwi then mambo ya kukopa bodi tena ninaweza coz wanakopa hadi masters
 
POA bhna msiwaze then mambo ya kupondea vyuo huo ni utoto
 
kumbe wewe hata chuo hujaenda unabaki kukashfu IFM poooooor you,unatukana mamba hujavuka mto.
ndugu yangu mbona wataka niaharibia siku mchana wote huu??? ni sehemu gan nimkashfu IFM??? TAFADHAL NAOMBA UNIJIBU!
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...um/313188-wanaoiponda-ifm-ni-wendawazimu.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ungu-sijapangiwa-ifm.html?highlight=LORDVILLE

ANGALIA MICHANGO YAKO HUKO THEN TOA JIBU WEWE NA ze duduz01 WAZEE WA SUA MNAKWENDA SOMA KOZI ZA WAZEE HHAHA NA HIYO SIKU YAKO IHARIBIKE POTELEA MBALI
embu kuwa muwazi kidogo ni sehemu gan nimeikashfu IFM!!! sehem zote hizo sijaona maelezo ambayo nimeikashfu IFM....AFU UNAELEWA MAANA YA KASHFA NA MCHANGO...embu ni quote sehem niliyoikashfu IFM!!! KUMBUKA SIKO HAPA KUBISHANA NA WEWE ILA NI KUWEKA MAMBO SAWA...tafadhal fanya hivyo!
 
embu kuwa muwazi kidogo ni sehemu gan nimeikashfu ifm!!! Sehem zote hizo sijaona maelezo ambayo nimeishfu ifm....afu unaelewa maana ya kashfa na mchango...embu ni quote sehem niliyoikashfu ifm!!! Kumbuka siko hapa kubishana na wewe ila ni kuweka mambo sawa...tafadhal fanya hivyo!
angalia mwenyewe ndio nishakuambia usitukane mamba hujavuka mto ,
 
angalia mwenyewe ndio nishakuambia usitukane mamba hujavuka mto ,
okey sasa ni hiv...si kwamba ilikua ni ombi kama ulivyoelewa....naiman na ndo hivyo ilivyo hamna mahali nlishakashfu chuo humu JF,SASA UNACHOONGEA SIKUELEW....nimekwambia unionyeshe ni sehem gan unajing'ata....ila kama kuna sehem nliandika maneno hayo naomba unsamee...
WAZEE WA SUA MNAKWENDA SOMA KOZI ZA WAZEE HHAHA
na haya maneno ulivokua unaandika ulikua unamaanisha nin??????
 
ANGALIA MICHANGO YAKO HUKO THEN TOA JIBU WEWE NA ze duduz01 WAZEE WA SUA MNAKWENDA SOMA KOZI ZA WAZEE HHAHA NA HIYO SIKU YAKO IHARIBIKE POTELEA MBALI[/QUOTE]

We jamaa unaumwa wewe,sio bure!
 
Back
Top Bottom