Ushauri tyre size

salari

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,042
5,387
Wakuu naombeni ushauri nina gari Toyota ractis sasa nataka badilisha matairi. Matairi iliyotoka nayo japan ni size 175/65 rim 15 size inayotakiwa kwa mujibu wa Toyota ni 175/60 rim 16. Sasa nimezunguka maduka kadhaa ya matairi size ambazo wanazo ni 185/65/ rim 15. Nahofia kuchukua hizo saizi 185 nahisi wakati wa kukata kona zitasumbua maana ni kubwa kwa 10 unit zaidi. Wadau naombeni ushauri wenu maduka kadhaa niliyopita wanadai ni ngumu kupata size ilizotoka nazo japan! so wakashauri nichukue hiyo 185/65/ rim15
 
Back
Top Bottom