Umeandika vyemaNaunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.
Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.
Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.
Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.
Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
Nyerere day inatoshaKutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day,hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005. Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
Huyu jamaa alikuwa bonge la kiongozi lakini kumbe ambao tulikuwa ni watoto kwenye utawala wake mengi hatukuyajua.Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.
Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.
Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.
Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.
Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
"Machozi ya mamba"? Haki ya nani Pascal Mayalla nawe umeamua kama JK, hivi unajua lakini tofauti yako na JK? Mwenzako ana kinga ya uzee na kaheshima ka ustaafu lakini wewe jee?Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.
Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.
Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.
Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.
Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.
Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
Ukimtoa Mwalimu hao wote wataangukia kwenye bakuli moja siku ya mashujaaNyerere day, Karume day, Mkapa day, Kikwete day, Magufuli day,...........day,.........day,..........day!!
Ngoja tusubiri wajumbe
wewe "WAJUMBE" ndo wanakuweza.dndagula,
Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.
Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi. Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.
Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita "Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?
Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!
Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!
P
Napendekeza zifutwe zote. Hazina tija yoyote kwa raia maskini asiepata huduma bora za kijamiiKutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.