Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,254
- 34,205
Acacia ililetwa na nani?? Nani alisaini nao mikataba??Lissu huyu huyu aliewatetea ACACIA ... huo ujinga fanyeni huko huko chadema.
Acacia ililetwa na nani?? Nani alisaini nao mikataba??
Unajua lissu na akina zitto walikua wanaipinga ila akima magufuli na ccm yake ndio mkawaona akina lissu wajinga?? Unalijua hilo wewe mtoto??
Watu watakao wavusha kanani mnawapuuza. ...ndio maana Rais kasema tumerogwa tuombewe na wachungaji. .....Eeeeeeh huyo hata cheo cha kufuta viatu vya Rais, JPM hawezi kumpa.
Ni mmoja ya wasaliti wakubwa wa nchi yetu.
Manina walahi Tundu Lisu ndiye aliye sign hiyo mikataba ? Mnawaacha kina Mkapa kwa kutuuza halafu unakuja kutoa hewa chafu humu
Coco inakuaje wakati Mama Anna Makinda akimaliza uongozi wake wa Uspika alimsifia sana Lissu, alimuelezea kama mmoja ya watu waliomsaidia sana yeye na bunge katika ushauri wa mambo ya kisheria pamoja na fujo zake zote...
Kwani kuna cheo cha kufuta viatu vya rais?
Nyie watu akilini zenu zimehifadhiwa pale lumumba??Lissu ndiye aliyesaini mikataba??
Kabla hujapost uwe unasoma ulicho andika
Msaliti Wa nchi ni wewe usiejua ulicho ansika
Go back to school
Bashite copy we
Masanju na Kigoda wao walikuwa wamewahifadhia?Ili aendelee Kituibia na Acacia?
Lissu si alianza kukataa haya madudu tokea miaka ya 90?? Leo mnamwita msaliti??
Sasa aliyepiga makofi mikataba isainiwe na aliyekuwa anaipinga nani ni msaliti??
Watu watakao wavusha kanani mnawapuuza. ...ndio maana Rais kasema tumerogwa tuombewe na wachungaji. .....
Magufuli eeh?? We ndio umwambie maana uko nae karibu zaidi yangu!!Ni mmoja wa viongozi wanaopenda kupokea bahasha, mwambieni abadilike.
Mtataaaaaaniiiiiiii tumia ubongo kufikiri achaaaaa, tafuta clip ya Lissu usikilize vizuri, hao acacia hawataki hata kusikia neno Lissu.Lissu huyu huyu aliewatetea ACACIA ... huo ujinga fanyeni huko huko chadema.