Ha ha ha ha haaaa... CCM mnashangaza Sana, Dah, Hurumaa kwa Watanzania.Ili aendelee Kituibia na Acacia?
Tundu Lisu ndiye aliye sign hiyo mikataba ? Mnawaacha kina Mkapa kwa kutuuza halafu unakuja kutoa hewa chafu humuEeeeeeh huyo hata cheo cha kufuta viatu vya Rais, JPM hawezi kumpa.
Ni mmoja ya wasaliti wakubwa wa nchi yetu.
Pole.Eeeeeeh huyo hata cheo cha kufuta viatu vya Rais, JPM hawezi kumpa.
Ni mmoja ya wasaliti wakubwa wa nchi yetu.
yaani Lissu awe chini ya boss anayemzidi akili mara 100%?Mleta mada unadhani Lissu ni mpumbavu kiasi hicho?
Huyu tumtilia,shaka kwa jinsi anavyopiga kelele kuwasaidia wezi wa madini wetuWana JF,ninawasalimu. Ili kufanikisha azma ya Raisi wetu kupambana na wezi wa madini yetu, nashauri yafuatayo . Wizara ya Katiba na Sheria ijiimarishe zaidi na iwe na wazalendo na wajuzi wa kutosha kwenye sheria zetu. Imeonekana,chanzo cha wizi huu ni upungufu wa sheria thabiti na kukosa uzalendo kwa wenye dhamana. Ninajua,siyo kila mbunge anaweza kujua vizuri sheria na mikataba,ila Wizara yenye dhamana ndo mhimili unaoweza kusaidia na kufafanua mengi. Mh. Tundu Lisu ameonekana kuimarika kwa kiasi fulani kinachotosha kutoa mwongozo na utetezi wa kisheria katika mwenendo mzima wa shuguli za madini na mikataba. Kwa maana hiyo,vyema washirikiane nj Prof. Kabudi kusukuma mbele hoja za leo za Mh. Raisi wetu kwenye ripoti ya 2 iliyowasilishwa leo.
Kwanza huyu mtu inabidi afungwe kabisa... Na mzee ameshasema alete kelele ata deal nae effectively
Ili aendelee Kituibia na Acacia?
Mtafanikiwa tena kuwadanganya wachache safari hii. Hamisheni tu magoli ila ni wazi mmejianika wenyewe.Ili aendelee Kituibia na Acacia?