USHAURI: Tumieni majina ya Machifu wetu zaidi kwenye anuani za makazi

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Jinsi zoezi linavyoendelea Ushauri kwa wahusika tumieni majina ya machifu Kama chifu Songea,chifu Mangisina,chifu Mkwawa na siyo kutumia majina ya ajabu ajabu.
 
Watu wanalipia majina waandikwe wao hii ndo Tanzania.
 
Back
Top Bottom