Janga lolote kubwa huja vipande vipande, tatizo huwa wengi hatuwezi kuunganisha hizi dots....!
Kabla hajakuzoea hivyo wewe haraka haraka wangapi amewapitia huyo Shem kabla yako,....unadhani ana kifua cha kuitunza mambo au ndio hivyo mkipishana kauli anamwaga Michele penye njiwa wengi!