Ushauri tu siyo matusi

Ushauri tu siyo matusi

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,702
Kwanza nikiri :- Maisha yangu yote mpaka sasa sijawahi kutembea na mke wa mtu, ujana wote nilikula ili nilirespect sana hilo ni kitu nilijijengea tangu mtoto.

Twende kwa tukio,

Kuna mshkaji tumesoma wote Advance miaka ya mwanzoni kabisa wa elf 2. Tulikuwa washkaji sababu tulitoka wilaya moja na pia sababu ya ujana tulikuwa mabishoo sana shule(utoto na una mengi )
Badae chuo kila mtu kivyake na ushkaji uliishia hapo. Tumekuja kukutana 2019 hapa mjini me nikiwa na biashara zangu ye anafanya kazi kampuni ya IT.

Tangu 2019 hatukurudisha ule ukaribu, japo mara moja moja alikuwa akipita kwenye biashara zangu akinikuta tunapiga story anakuwa inspired na mafanikio yangu, ana wish aache kazi aingine biashara so tukawa tunapeana ushauri.

Mwaka jana akaniomba mchango anaoa (me na familia kitambo 1st born ana 12 ye ndo anataka kuanza life ya familia nadhan ujana ulikuwa bado kichwani). Nikamchangia kiasi kikubwa tu, basi kuanzia hapo akazidisha kuniweka karibu (mpaka hapo me hata simjui shemeji yangu).

Akaoa last year Dec. alifungia ndoa mkoa so sikushiriki zaid ya kuona picha. Mwaka huu mwezi wa 7 akaniambia anahama Sinza nimtafutie nyumba nakokaa (nje ya mji nilikojenga ni rahisi kupata nyumba nzuri kwa bei ndogo).

Nikamtafutia jiran tu akapata nyumba nzima, akalipia hela alilipwa baada ya kuacha kazi akawa kamfungulia mkewe biashara ya Mpesa hizi (mpaka hapo sijawahi muona mkewe zaid ya picha).

Walipohamia mwezi wa nane ndito nikamuona shemeji (mashalah shem kabarikiwa yuko vizuri sana, blackbeauty na ana nyea kuleee{tako}).

Sasa ghafla naona shemeji amezidisha mazoea na mimi.
Tukienda kanisan anapenda kukaa na sisi, so inambidi jamaa awe anaongozana na sisi muda wote.

Kurud home shemeji ataforce apande gari yetu, jamaa anakuja nyumba so karibia kila lunch ya Jumamosi tunakula kwangu. Shemeji sijui alitoa wapi no yangu ananichatisha kuliko kawaida.

Sasa kimbembe jana tukiwa kanisan shemeji kanitumia emoji za sex (nadhani mnazijua, whastap kuna emoji za kutengeneza za sex watu). katuma kama zaidi ya kumi then kaniuliza shem unapenda style gani?

Sikumjibu nikatuma emoji ya kufumba macho. Wakati tunatawanyika kulikuwa na meza ya bwana, jamaa akabaki ale meza ya bwana na wife wangu pia akabaki. Me sikuwa nimepanga kula sababu na uchafu nilifanya ijumaa usiku so nilijishtukia.

Ghafla mke wa jamaa akabadilika hali na ye meza ya bwana tumbo inamuuma.
Basi nikachukua watoto na wife wa jamaa tukaondoka, njiani shem akaniuliza "Shem mchana una ratiba gan?" Nikajibu nitakuwa home naangalia mechi za epl.

Shem akaomba tutoke "Fanya tutoke, tafuta sehem iliyojificha then nitumie location nitakukuta. Make sure imejificha watu wasijekuleta umbea." Hiyo msg sikuijibu na sikuenda, nilizima simu mpaka leo ndiyo nimewasha.

Niwe mkweli huyu shemej ni mzuri hata mimi namtamani, vut nawaza baada ya kumla wat next? Hataniganda? Haitaniharibia ndoa yangu? Maana naona kichwa chake kama kiko resi sana! Je, mshkaji akijua nimemla mke wake?
Niwe mkweli natamani sana kumla ila angalau angekuwa mbali huko sawa, ila tunakaa jirani so sioni namna ya kusema tutajificha milele.

NB: Sijawahi kula mke wa mtu na pia me siyo fala kupotezea nafasi kama hizi, but nikiwaza nje ya box naona hatari sana huko mbele. Embu pls wenye uzoefu na wake za watu advc sio matusi.
 
Najua hapa unataka tukusupport tu umle ila sikushauri umle
 
Mwandiko na kisomo ulichotaja sasa!
Kuna wakati huwa najisemea, mimi la saba C ni vere intalekcho aisee.

Kuhusu huo uzinzi, Mungu asikuepushe na hiyo zinaa na uharibifu wa familia za watu bali akujaalie yanayokupasa baada ya kufanikisha adhma yako, AMEEEEEN.
 
Bora tuliopo Kimboka tunawaza Kanisani kuliko Mliopo Kanisani mnawaza Ngono zembe.
 
Mie siamini kama mke wa rafiki ako anaweza jizima data kwa kiwango hiki..au la anakisasi na mumewe..ptu
 
JamiiForums-1905703195.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom