Ushauri toyota platz

Ushauri toyota platz

infomania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
242
Reaction score
159
Wanajamvi naomba ambaye ashawahi kuwa na toyota platz anishauri-je ni gari ambayo spare zake zinapatikana? je inaweza kupiga masafa marefu mfano Dar-Arusha,je utumiaji wa mafuta uko vipi i.e. lita moja ni KM ngapi.Kama kuna mengine mtu anajua anawez kunishauri zaidi.
 
Ni Gari ndogo mfano wa stallet, inakula mafuta kidogo, I think ni 14km/l, ila kwa hapa mjini zipo chache sana so spare zake pia itakuwa ni big challenge kuzipata. Ni model ya zamani kwakweli
 
BIGURUBE-Ahsante kwa ushauri wako vipi kuhusu vitz/raum za 2003-2006
 
Hizo sina uzoefu nazo mkuu, ila km unahitaji Gari mm pia ninayo Vista Ardeo nauza, inakula mafuta vizuri sn
 
Ni Gari ndogo mfano wa stallet, inakula mafuta kidogo, I think ni 14km/l, ila kwa hapa mjini zipo chache sana so spare zake pia itakuwa ni big challenge kuzipata. Ni model ya zamani kwakweli

kaka umemuingiza chaka mwenzako platz na stallet wapi na wapi,plats zina bonet kwa nyuma its a saloon car na sio baby seater na spare zipo za kutosha na wala sio gari za zamani kivile
 
Sikumaanisha muundo ni km stallet bali cc zinalingana na stallet, sijaona watu wengi wakinunua km ilivokuwa miaka ile ya 2005
 
2005 hazikuwepo kabisa hizi hazina muda mwingi hapa bongo ila watu hawakuzipenda sijui why
 
Zilikuwepo boss, hata sasa ukiwauliza ni wachache sn wanazifahamu
 
kaka umemuingiza chaka mwenzako platz na stallet wapi na wapi,plats zina bonet kwa nyuma its a saloon car na sio baby seater na spare zipo za kutosha na wala sio gari za zamani kivile

daah gar ina shape mbya hio
 
Mkuu nicheck kwa 0659429131 whatssap nikutumie picha na details zote
 
Wanajamvi naomba ambaye ashawahi kuwa na toyota platz anishauri-je ni gari ambayo spare zake zinapatikana? je inaweza kupiga masafa marefu mfano Dar-Arusha,je utumiaji wa mafuta uko vipi i.e. lita moja ni KM ngapi.Kama kuna mengine mtu anajua anawez kunishauri zaidi.

Mmmh Toyota Platz? Sikushauri kabisa,kuna kitu inaitwa Toyota Wish ndo habari ya Mujuni,mafuta 14.5L/Km,comfort drive,prize yake ni cheap pia,
 
Ni miongoni mwa gari yenye shepu mbaya ambayo nime wahi kuiona toka nizaliwe
 
Toyota platz $2100 mpaka daressalam gari mbona ina shape nzuri sana
BH622254_523faf.jpeg
BH622254_6dd1f3.jpeg
 
Back
Top Bottom