USHAURI TAFADHARI

mbanga8

New Member
Dec 30, 2015
1
0
Naomba ushauri kuhusu kuanzisha biashara za midia hasa radio kwa hapa dar.
Naomba ushauri kwenye yafuatayo:
1.Gharama za uanzilishaji
2.Vifaa muhimu vya kuanza navyo
3.Muda wa mrejesho wa capital uliyowekeza
4.Na mwisho toa ushauri wako wwte.
Asante.
 
Back
Top Bottom