Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Yule jamaa wa JF anaekung'ang'ania umehamua lipi rafiki?[emoji53][emoji53][emoji53]Sasa uendelee naye kwenye nini?
Mapenzi ya kung'ang'aniza saa nyingine yanaweza kuwa mazuri ila huwa yanakaraha yake ambayo usipokuwa makini unaweza kuwa kazi yako ni kuugulia maumivu kila kukicha.