Ushauri tafadhari.......

Ushauri tafadhari.......

Mwagito84

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
235
Reaction score
716
Kuna binti nakusudia nimemweleza niya yangu ya kumuoa baada ya kumchunguza vya kutisha. Amemaliza chuo mwaka huo ila tatizo analigomea ombi langu kwake anadai ana mtu licha ya kuwa utafiti wangu unaonesha kuwa yuko single....tunapiga story vizuri namsaidia changamoto zake na anakuja mara kwa mara kunitembelea. Shida nikimweleza juu ya mahusiano anasema ana mtu.......swali niendee naye au nimuache na 5o zake.......ushauri please........
 
Kupata waschana waaminifu ni vigumu sana sikuiz
Kama hauna Sura ya kutisha em msikilizie labda anakusoma tabia
 
Kuna binti nakusudia nimemweleza niya yangu ya kumuoa baada ya kumchunguza vya kutisha. Amemaliza chuo mwaka huo ila tatizo analigomea ombi langu kwake anadai ana mtu licha ya kuwa utafiti wangu unaonesha kuwa yuko single....tunapiga story vizuri namsaidia changamoto zake na anakuja mara kwa mara kunitembelea. Shida nikimweleza juu ya mahusiano anasema ana mtu.......swali niendee naye au nimuache na 5o zake.......ushauri please........
Muache aende zake atakupotezea muda huyooo
 
Inawezekana na yeye akawa anakuchunguza, mpe muda akuchunguze lakini weka limit ya huo muda, baada ya hapo unamchana mubashara... 'Mimi nakupenda kama wewe haunipendi usinipotezee muda wangu' alafu unakata mawasiliano ile kibabe. Huku una skilizia tokeo! Walai tenaa mtoto lazima akutafute huyo
 
Sasa uendelee naye kwenye nini?

Mapenzi ya kung'ang'aniza saa nyingine yanaweza kuwa mazuri ila huwa yanakaraha yake ambayo usipokuwa makini unaweza kuwa kazi yako ni kuugulia maumivu kila kukicha.
Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogo
 
Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogo
Huo ugunduzi ndio utampoteza sababu kama mtu ameshamwambia ana mtu inambidi aamini tu na pia anatakiwa ajue kwamba hajavutiwa naye. Hahaaa.
 
Mkuu huo uchunguzi wa kutisha umeufanyaje fanyaje!?

Uchunguzi wako ni batili, wewe umegundua hana mtu ila yeye anakuambia ana mtu!! Fanya uchunguzi tena!
 
Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe! Mtu anakwambia kiroho safi kuwa ana mpenz wake na ana malengo nae wewe umeng'ang'ania tu.
Sijui shida yako muwe wanaume wawili kwa demu mmoja alafu ukimdaka uje na uzi wa kulilia hapa jukwaani?
Achana nae mkuu huyo kakueleza ukweli japo ni ngumu kuupokea. Mabinti wapo kibao mtaani.
 
Hivi kwanini mnatumia gia ya kuoa kuvunja mahusiano na mtu asee, hivi wewe akishakukubalia ukawa nae akaja mtu akamwambia akuache akamuoe utajisikiaje?

Tafuta aliye single achana na huyo kashakwambia ana mtu wake sasa unalazimisha nini
 
Huo ugunduzi ndio utampoteza sababu kama mtu ameshamwambia ana mtu inambidi aamini tu na pia anatakiwa ajue kwamba hajavutiwa naye. Hahaaa.
Mwache tu anaendelee kumsaidia changamoto zake, ahaaaa!!

Ataelewa somo mwenyewe
 
e015d3142e382bb2943ca62d12173550.jpg
 
Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogo
hapo mimi mwenyewe ndio kaniacha hoi..huo uchunguzi aliufnya kwakutumia vifaa gani mpka aseme kuwa amefnya uchunguzi na amegundua kuwa hana mtu...!!?
kweli kupenda ninusu uchizi..
yaani mtu anakwambia kuwa anamtu lakini wewe bado unapinga nakusema kuwa umefanya uchunguzi umegundua hana...YAANI aMEKUBALI MOYO WAKe KUISHINDA AKILI YAKE
 
Back
Top Bottom