white rose
Member
- May 24, 2015
- 61
- 22
Tafuta biashara uendelee kukuza kipato cha kuweza kujenga na badae gari
Kwanza hongera sana kwa kuwa na mawazo ya kimaendeleo ni wanawake au wasichana wachache sana wenye fikra pevu kama hizo kabla sijakushauri kufanya kimoja kati ya hivyo ningependa kujua uko mkoa ngani na wilaya gan?[/QUOT]..... Npo dar es salaam
Kuna mtu tu na akili zake za Ijumaa, atakuja hapa akushauri uolewe. We subiri tu.
Kuna mtu tu na akili zake za Ijumaa, atakuja hapa akushauri uolewe. We subiri tu.[/QUOTE
Mkuu dada anataka ushauri wa hivyo vitu vitatu tu.
Bora anunue gari.........maisha haya mafupi.......huwezi jua........
Kuna mtu tu na akili zake za Ijumaa, atakuja hapa akushauri uolewe. We subiri tu.[/QUOTE
Mkuu dada anataka ushauri wa hivyo vitu vitatu tu.
Dah! Samahani Chief, sikuelewa vizuri.
Ujue amenipa machungu cuz niko 30+, sina mtoto wala sijafikia mafanikio aliyonayo. Nipo tu hapa nafukuzia fursa na vijana.
Angalau nimemzidi likes na rep power points tho.
Bado akijenga nyumba na akakopa pesa ya biashara kama hakuna muda wa kuisimamia bado italiwa na nyumba itakua mashakani.Biashara inahitaji usimamizi na time
ukiachia watu hela yako wataila ulie hadi kamasi nje
Nyumba na kiwanja ni idea nzuri sababu ukiwa na nyumba kwa jina
lako utaweza hata kukopa benki ufanya biashara yoyote ile
Gari pia kama unaishi Dar lina umuhimu wake
lakini pia litakuongezea gharama za matumizi....
ingawa linaweza pia kukurahisishia mambo mengi mengine
kazi kwako