Ushauri Tafadhali

Ushauri Tafadhali

Joined
Nov 5, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Jamani Naombeni Ushauli Watuwangu Wa Nguvu, Kuna Msichana Nampenda Na Nilimwambia Akaniambia Tayari Anamtu Wake Na Tukiwa Tunaongea Kwenye simu Tunaongea Vizuri Tu.

Sasaivi Nimetoka Safari Na Sio mda Mrefu Tumehaidiana Tunakutana Baada Ya Wiki1 Sasa Naombeni Ushauri Nimpelekee Zawadi Gani Anaweza Akapendezewa Nayo Na Akazidi Kuvutiwa Na Mimi.
 
Kwa namna hii ukimwi tz hautaisha,mtu ana mtu wake na bado unajipeleka????
 
sasa si ana mtu tayari au unataka uwaachanishe na mwenzake. Imagine ukiachanishwa na wewe utajiskiaje
 
hivi wewe ni mwanaume au kijana wa kiume?
 
Sasa hapo mjinga nani kama si wewe huyo demu anakuja atachukua zawad afu atasepa bila wewe kupata chochote afu uje hapa tena utuletee uzi oo demu kachukua vitu vyangu na mzigo ajanipa pumba****
 
Kwa namna hii ukimwi tz hautaisha,mtu ana mtu wake na bado unajipeleka????

Acheni izo bwana majibu ya wanawake ayo, hana mtu wala nn alihitaji tu kubembelezwa na kushawishiwa
 
Zawadi ni zawadi chagua ww utakayona inafaa


Ushauli - ushauri
 
Jaman Naombeni Ushauli Watuwangu
Wa Nguvu,, Kuna Msichana Nampenda
Na Nilimwambia Akaniambia Tayari
Anamtu Wake Na Tukiwa Tunaongea
Kwenye Cm Tunaongea Vizuri Tu.Sasaivi
Nimetoka Safari Na Siomda Mrefu Tumeaidiana Tunakutana Baada Ya
Wiki1 Sasa Naombeni Ushauli
Nimpelekee Zawad Gan Anaweza
Akapendezewa Nayo Na Akazid
Kuvutiwa Na Mm,


Siku nyingine ukianzisha uzi andika hivi....Ushauri na si Ushauli.
 
Ninyi ndiyo mnaostahili kupigwa risasi,ameshakuambia ana mtu wake,sasa kinachokufanya ujipendekeze ni nini?
Mijitu mingine inakera kweli.
 
Shule zitafungua vileee :boxing::boxing:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom