Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua mshauri mzuri wa mambo ya mhusiano. Nahisi kama BP inanisakama kwa mawazo na uchungu nilionao.
asanteni.
mimi ni ke,
hiii promo KE na unataka PM safari njema
Achana na mambo ya kupenda kama mimi. mia
untaka pm wakati hatujui una tatizo gni....
Hahahaaaa...hapana mkuu, Heaven on Earth alinificha kwapani lol. but hatimae kaniruhusu nije kuwapeni jambo. miaUlipigwa ban mkuu? mia
Hahahaaaa...hapana mkuu, Heaven on Earth alinificha kwapani lol. but hatimae kaniruhusu nije kuwapeni jambo. mia
Mkuu unapo andika neno Heaven on Earth andika kwa unyenyekevu. hahahahahaaaa...!!!miaAlikuwa analoweka nguo ukitaka kusepa?
Vaa hvyohvyo tu
Mkuu unapo andika neno Heaven on Earth andika kwa unyenyekevu. hahahahahaaaa...!!!mia
Sawa, naomba umuamkie miss chagga kwa herufi kubwa na adabu tele. mia
Sawa, naomba umuamkie miss chagga kwa herufi kubwa na adabu tele. mia
SHIKAMOOOOO... miss chagga. mia
Hahahaaaa...hapana mkuu, Heaven on Earth alinificha kwapani lol. but hatimae kaniruhusu nije kuwapeni jambo. mia
asante kwa kutengeneza mazingira ya kunyimwa vitu vitamu