achana nalo bwashee usijepata gono sugu na usilijibu maana mwanaume kuanza kubishana na mwanamke tena TUKUNYEMA ni matumizi mabaya ya uanaumeNilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔
Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua nimetulia tu najenga makaburi ya wazee wangu.
Sasa nikazoeleka hapo , nasikia skendo kwa wateja wa kike na wahudumu kuwa mwamba sina uwezo wa kuichapa 😁 na sijawahi weka hata kidole😁
Kumbe ni yule mamsi niliye mnunulia vinywaji ile siku kaona wivu sikutaka niichape kwake tu just fo pisi ila kaona alete miyeyusho 😁
Stories imeshambaa kinouma kisa tu niliibuka na pisi nyingine kinanda , tukunyema likaona mrija wa pesa umekatwa , now linafanya vurungu kuniharibia , mjini moshi wakati nikiwa moshi bar yangu ni redstone tu naona linaniposti wasp kunichafua , niliachane au nilikwepe tu kuepusha shari?
😂😂😂😂😂Nilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔
Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua nimetulia tu najenga makaburi ya wazee wangu.
Sasa nikazoeleka hapo , nasikia skendo kwa wateja wa kike na wahudumu kuwa mwamba sina uwezo wa kuichapa 😁 na sijawahi weka hata kidole😁
Kumbe ni yule mamsi niliye mnunulia vinywaji ile siku kaona wivu sikutaka niichape kwake tu just fo pisi ila kaona alete miyeyusho 😁
Stories imeshambaa kinouma kisa tu niliibuka na pisi nyingine kinanda , tukunyema likaona mrija wa pesa umekatwa , now linafanya vurungu kuniharibia , mjini moshi wakati nikiwa moshi bar yangu ni redstone tu naona linaniposti wasp kunichafua , niliachane au nilikwepe tu kuepusha shari?
naunga mkono hoja ukiwa nalo litakufanyia jambo kubwa zaid unajua tena pombe ilivyoBwashee likwepe na usiludie tena...
Sidhani 😁Ndo tatizo la kununulia vinywaji wanawake wa bar au chakula wewe unaweza kufanya kwa nia nzuri kumbe yeye kichwani anawaza mizinga tu na ngono. Ndo maana wanaosemaga mwanamke wa kuoa hauwezi kuanza nae mahusiano kwa kukutana na bar🥹🥹
Paka mkongo ingia mzigoni kwa hilo Tukunyema, afu utanishukuru baadaye..niliachane au nilikwepe tu kuepusha shari?