Siku zote hakuuona huo ufupi?
Mwambie arefuke yeye maana hata yeye atajamwagwa hivyo hivyo kwa ufupi wake.
Hapa ndipo nimegunduwa uselfish wa wanaume, yaani yeye kauona ufupi wa mwenzanke, lakini ufupi wake yeye mwenyewe hauoni!! huu ni upumbavu wa kupindukia.Siku zote hakuuona huo ufupi?
Mwambie arefuke yeye maana hata yeye atajamwagwa hivyo hivyo kwa ufupi wake.
Kiujumla binadamu sie ni wabinafsi, sema wengine wamezidi kama huyu jamaa.Hana tofauti na wale wanaosema "nataka msichana mzuri, mwembamba" wakati yeye hana huo uzuri na mwili ni kama pipa.Wako tayari kutaka vitu ambavyo wao hawawezi kutoa. . .Hapa ndipo nimegunduwa uselfish wa wanaume, yaani yeye kauona ufupi wa mwenzanke, lakini ufupi wake yeye mwenyewe hauoni!! huu ni upumbavu wa kupindukia.
Yeah guess na kina dada nao wangekuwa wanaweka masharti yao kwa wakaka si ingekuwa balaa? maana mdada angeanza na sifa za mwanaumKiujumla binadamu sie ni wabinafsi, sema wengine wamezidi kama huyu jamaa.Hana tofauti na wale wanaosema "nataka msichana mzuri, mwembamba" wakati yeye hana huo uzuri na mwili ni kama pipa.Wako tayari kutaka vitu ambavyo wao hawawezi kutoa. . .
Yeah guess na kina dada nao wangekuwa wanaweka masharti yao kwa wakaka si ingekuwa balaa? maana mdada angeanza na sifa za mwanaum
1. Awe na misuli
2. Awe na umbo sex
3. Awe mrefu wa wastani
4. Awe na usafiri
5. Asiwe na financial arrasment.
Imagine wadada nao wakikomaa na vigenzo hivi kutakuwa na mahusiano kweli?
wa2 siku iz wana vigezo vyao lol.Yeah guess na kina dada nao wangekuwa wanaweka masharti yao kwa wakaka si ingekuwa balaa? maana mdada angeanza na sifa za mwanaum
1. Awe na misuli
2. Awe na umbo sex
3. Awe mrefu wa wastani
4. Awe na usafiri
5. Asiwe na financial arrasment.
Imagine wadada nao wakikomaa na vigenzo hivi kutakuwa na mahusiano kweli?
Jidanganye tu kwenye huo umri ulionao, ngoja ukaribie 40 yrs tuone kama utaongea huo upuuzi wa marriage with purpose.wa2 siku iz wana vigezo vyao lol.
unioi 2 et ndoa , marriage with purpose ndio mpango mzima.
vigezo na masharti lazima vizingatiwe.