Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela"
Mawazo hayo ni kwa kuhisi kuwa ikiwa sitakuwa na hela ya kutosha mahusiano yanaweza kuleta shida na vitu namna hiyo
ndio mkuu, kuna solution unayoweza kunipa!?.. kiuhalisia nazipenda ila sijui naanzia wapi kumuomba hata namba. yaan nkisalimia na story sizioni, nakua sina kingine cha kusema.