Ushauri Tafadhali!!!

Asalam alaykum wana JF natumai mpo wazima, nia na madhumuni ya kuanzisha hii siredi ni kwakutaka ushauri kutoka kwenu ni vipi mtu unaweza ukaishi kwa mtu mkorofi na mkaelewana?
Tumia akili yako zaidi ya maneno yako.. itafika point utaweza kuutumia ukorofi wake against him/her...yaani akianza ukorofi aone kuna kitu kinamrudia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…