Naomba kuuliza nilipitia maelezo ya mwenzetu mwana jf kuhusu njia z uzazi wa mpango faida na hasara zake lakini kuna hasara moja sikuielewa aliposema kuwa njia ya uzazi wa mpango ya kueka njiti inasababisha kupungua kwa cd4 mwilini, kwa anaefahamu zaidi anaweza kunifafanulia PLZ😕