Ushauri: Smartphone kwa 140,000

mike318

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Wadau nina 140,000/=.mnanishauri nichukue smartphone ya aina gani kutokana na hicho kiasi
 
Kanunue tecno, 129,000. Usinunue huawei haina flash compared na tecno.
 
Mkuu tungependa kujua matarajio yako kutoka kwa smartphone unayoitaka,, itatuwezesha sisi kuweza kukupa muongozo mzuri ambao hautokupa majuto baada ya manunuzi, hadi hapo naweza kukuelekeza kwenye soko la "used smartphones" hnaweza kupata simu nzuri sana kwa bei hiyo mfano:Xperia Tipo, HTC Desire V, Desire C na nyinginezo ijapokua utakua nyuma kwenye suala la Android OS, kama unataka mpya kabisa nenda duka la TECNO wana simu kibao utachagua
 

Iwe inasupport normal apps,tethering hotspot,wifi
 
mike318Basi nenda kwa Xperia Tipo au Desire V
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ