Shobi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,401
- 4,371
Salaam;
Nilikuwa na mahusiano na dada mmoja kuanzia 2013 tuliendea vema sana lakini 2016 mambo yalianza kuelekea vibaya niseme ukweli nilikuwa bize sana sometime nikawa siongei sana na simu ni msg tu sasa ikafika kipindi nikaona siyo sawa nikamweleza wazi hali zinabadilika nakosa faragha ya kuzungumza naye zaidi ya msg akajibu wala usijali msg zinatosha mambo yakaenda hivyo hivyo bila shida.
Sasa ikafika kipindi akitaka kitu anaforce sio kwamba nilikuwa simpi chochote lakini sikuwa namzoeza kumpa chochote kwa 7bu tu anataka. Baada ya muda nikagundua kitu fulani siku zote ambazo ninafuta akijua ni uhitaji wa kuongea naye yeye anatafuta sababu ikipokea simu anaomba nimtafute baadaye kidogo na baadaye nikamtafuta haipokelewi basi ikawa nampotezea kabisa wala nilikuwa siulizi mbona hukunitafuta ingawa miscall alikuta mara nyingine anasema kinyoofu kabisa naomba nitakutafuta lakini inafika saa saba usiku hakuna msg wala miscall nilivumia nikawa bize na mambo yangu inapita hata wiki tatu hakuna msg/call..
Ikafika mwezi wa pili 2017 tulitifuana kweli kweli lakini tukavuka mwezi wa nne mambo yakarudi vizuri sasa mwezi sita akaanza tena mambo ya status za whatsapp za maneno nikawa nasoma tu siulizi chochote akaona hiyo haitoshi akaweka profile akiwa amekumbatiana na mwanaume fulani nikauliza kwa upole tu "Huyo nani" akajibu wewe unaniuliza kama nani?
Nikafikiri sana nikaona haina haya kuongea chochote na haitasaidia nikajibu basi poa nawatakia maisha mema akajibu sawa nikaachwa kiroho safi nikatulia sikupaniki kabisa sinaga kanuni ya kurusha maneno au ugomvi na mtu tena mwanamke ikapita muda sana ikafika mwezi wa kumi 2017 nikawa ninacheki contact zangu zangu whatsapp (namba sikufuta) nikampa hi, mzima?
Basi poa ikashia hapo ikafika mwezi 12 nkarudi mkoani nikasalimu wazazi ile nimefika tu usiku wake nikapata msg yake(yeye pia wa mkoa huo) sijui alinioneji wala sikumwambia yeyote nakuja mkoani msg inasema "mzima" nikajibu akaendelea "lini unakuja huku?" nikamjibu " mmh uliniona?.nimeshakuja leo".
Akaendelea "umeleta zawadi?" nikajibu" mh sijaja na ya saizi yako nilijua umeshaenda kwa mume wako " akajibu " mme gani?" tukachati kidogo nikampotezea nikalala zangu. Sikumtafuta wala sikuonana naye kabisa uso uso hadi nkaondoka mkoani..
Sasa sikuizi nimekuwa na tabia ya kuweka status za picha whatsapp anakuwa kwanza kuview na kunitumia meseji hiyo nini, juzijuzi amenitumie anaomba nimtumie sweta kuna baridi sana mkoani...nikamjibu ntaangalia nkipata..jana usiku tena katuma mzima wewe.. Mbona uliondoka bila kuniona? Sasa ninaomba ushauri niachane naye bila kugombana kwani naona anataka turudiane lakini sitaki kabisa...
Diva please usicopy