Ushauri:Sioi tena

Ushauri:Sioi tena

Yatima nao wanamatatizo yao besti.
Wanakuwa wameathirika kisaikolojia.

hao ndo wazuri besti, ukimpa care kidogo tu anajihisi kama yupo peponi. kwa attention kwangu, hana cha kumuhudunia baba wala mama... ni mkewwe na watoto tu.
 
Hebu muulize........ni lazima ndoa ya mwenzie ifanane na yake........?......

nikapige zangu kura mie niende kwa mama mkwe wangu leo........kaniahidi kunipikia mdudu hodari.......na ndizi mzuzu.........

watu hawataki wenzao waishi watakavyo! vote for naniliiuuu.
 
kumpata kazi sana nitakupa kaka yangu usijali wifi na wakwe wote wako poa

mawifi siwaogopi hata wakiwa na gubu tutaenda nao sawa. kasheshe mama mkwe, ukifikiria juu ya umri wake, ukifikiria na we una mama unashindwa hata kumzaba vibao. unaishia kusikitika tu. ok, huyo kaka yako naomba awe (.................).... si unajua tena..........! bye wifi.
 
Hebu muulize........ni lazima ndoa ya mwenzie ifanane na yake........?......

nikapige zangu kura mie niende kwa mama mkwe wangu leo........kaniahidi kunipikia mdudu hodari.......na ndizi mzuzu.........

Preta well commented aiseee!!"

Imitation is limitation ~John Mason
 
Last edited by a moderator:
Yaan ni kama movie vile shida tupu,jamaa anadai hana mgogoro mkubwa wa kuvunja ndoa,migogoro midogo ambayo ni normal, yaan akikuelezea vikao walivyo kutafuta suluhu ni vingi kwenye vikao mama anakubar yameisha kumbe anazuga tu. Sasa hofu yake ni laana na na pia anahofu kumuacha mke kwani atamlaum mno ukizingatia wanamtoto wa miez nane.

Yaan cjui tunaelekea wapi? Hii kama mimi tu sasa hivi yanayonikuta mpaka nahisi nimuache tu mwanamke kwa shinikizo la wazazi wake japo bado nampenda, omba usimkute mwanamke mwenyewe ana akili za kushikiwa, utajuta
 
Huyo rafiki yako anapenda kuonewa huruma hapo hakuna issue kubwa.
 
.......mnh si amwambie tu mama nimekua nahitaji kuwa na familia yangu na maamuzi yangu mwenyewe........hata akimuacha huyo dada akaoa mwingine,mambo yatakuwa yale yale.....huyo bibi au mama anasumbuliwa na gubu!.........-atasumbua tu wakwe zake huyo.....cha kufanya wewe na mkeo,i insist wewe na mkeo muwe mnamtembelea kwa pamoja,mnamtoa outing,akiumwa mnampeleka hospitali......gradually ataanza kumpenda mkwewe.....yaani unataka umuache mkeo kwa huu upuuzi????...au ushapata mchepuko unatafuta justification uendelee???......
 
kwanini ujudge maisha yako kwa failure za wengine??? yapaswa kuwa funzo tu na si kwamba nawe yako yaja kuwa hivyo, ila inaonyesha bado hujitambui, haya kilalakheri usioe tena(kwani ulishaona kabla mpaka usioe tena?)
 
Back
Top Bottom