kwahiyo nifanyaje mkuu? Japo kuna wakati unaweza ukala na kupotezea sawa.Lakini baada ya muda fulani unaanza kumkumbuka na kutamani ungedumu naye kwenye mahusiano
kwahiyo nifanyaje mkuu? Japo kuna wakati unaweza ukala na kupotezea sawa.Lakini baada ya muda fulani unaanza kumkumbuka na kutamani ungedumu naye kwenye mahusiano
Mkuu hali ulonayo me pia naitafutia dawa.Nimemiss kupenda tena kwani nilipoteza hali ya kupenda kutokana na kutendwa at the same time alonitenda akawa anaomba msamaha.Me kudoogo nimeanza penda,Yani Ile moyo kufeel kitu Kwa binti fulani.Utapita wakati tulia songa mbele,Ila bamiza na moyo ukitaka potezea achana naye.Ndo maisha