Mkuu nimekuelewa sn.Endelea kula ujana ukikuwa utajua jinsi ya kumhandle mwanamke,,, hawa viumbe wanahitaji mikakati ili uwatafune vizur
Very wise words, thank you.But to be honest it's not a one day process,kwa sababu unaweza ukaamua ila kuna kuanguka pia!You will change if only you decide to be a man, not a boy
Huenda ikawa ni kweli kutokana na historia yangu hapo nyuma lakini kama ni kweli mbona wakati mwingine natamani kupenda haswaa!?Mleta mada umepoteza taste ya kupenda ndo maana.pole
karibu kwenye chama pendwa la UMALAYAWakuu habarini za mida hii,
Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nina hoja nataka mnipe ushauri ndugu zangu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Kwa muda sasa nimekuwa na wapenzi tofauti tofauti.Mpenzi pekee niliyeweza kudumu naye kwa muda mrefu ilikuwa ni miaka miwili(Japo nilikua ninamsaliti kwa tamaa zangu lakini tuliweza kudumu),baada ya kuachana naye sasa miaka kadhaa imepita na sijawahi kuwa katika mahusiano ya maana yaliyodumu zaidi ya miezi walau mitatu.Na hata inapotokea tumeachana huwa ni kimyakimya na wala sina hisia zozote za kujutia zaidi tu ya kuwaonea wivu wenzangu walio katika mahusiano mazuri.Ni kweli nina tamaa na huenda ndiyo sababu ya kutojutia pale ninapoachana na mpenzi mmoja kwa kuwa nionapo wengine ninapata ashiki kama binadamu wengine,lakini ninapoingia katika mahusiano (kwa kudhamiria na kujitoa kimwili na kiroho/yaani ninaamua kabisa kuwa huyu ninampenda kwa dhati na sitomfanyia baya lolote) mambo huishia katikati kimyakimya na bila sababu ya msingi,mpaka sasa nahisi nina mkosi na kiukweli roho inaniuma kuona wenzangu wakifaidi matunda ya mahusiano yao na wakiwa wenye furaha huku mimi nikiwa na wasiwasi wa kupata magonjwa kwa kutokuwa katika mahusiano yenye msimamo.
Naombeni ushauri wenu.
nashukuru kwa ushauri.nitaufanyia kaziNi tabia ya kutokujali jambo/kitu fulani,..sasa si kitu kizuri inaweza kukugharimu kwenye maisha na unaweza usione impact yake kwa wakati huu...jaribu kutulia,tambua unahitaji nini kwenye mahusiano yako,.yape thamani mahusiano yako nayo yatakuthamini.
Mungu akutangulie.nashukuru kwa ushauri.nitaufanyia kazi
kwakweli kwenye hicho chama naomba mbaki wenyewe.LIFE IS LOVE.LOVE IS LIFEkaribu kwenye chama pendwa la UMALAYA
yani aombe ushauri yeye mwenyewe halafu ajipe yeye mwenyewe "ushauri maridhawa kabisaa"ndio ushauri maridhawa kabisaa
Hatua ya kwanza ni kujitambua, wewe umeshajitambua, next ni kutengeneza plan then third unatakiwa kusimamia
well said.Japo nahisi kuna complications nyingi behind the sceneHatua ya kwanza ni kujitambua, wewe umeshajitambua, next ni kutengeneza plan then third unatakiwa kusimamia
You live once. Acha ku@complicate mambo, you will never get out of it safewell said.Japo nahisi kuna complications nyingi behind the scene
Sijakuelewa mkuu,kwanini nifanye hivyo?Jaribu penzi na mabeki 3...wale ndio wa kujifunzia mkuu kama upo kilimanjaro driving school vile
Ni lazima ufahamu kweli hizi;Wakuu habarini za mida hii,
Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nina hoja nataka mnipe ushauri ndugu zangu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Kwa muda sasa nimekuwa na wapenzi tofauti tofauti.Mpenzi pekee niliyeweza kudumu naye kwa muda mrefu ilikuwa ni miaka miwili(Japo nilikua ninamsaliti kwa tamaa zangu lakini tuliweza kudumu),baada ya kuachana naye sasa miaka kadhaa imepita na sijawahi kuwa katika mahusiano ya maana yaliyodumu zaidi ya miezi walau mitatu.Na hata inapotokea tumeachana huwa ni kimyakimya na wala sina hisia zozote za kujutia zaidi tu ya kuwaonea wivu wenzangu walio katika mahusiano mazuri.Ni kweli nina tamaa na huenda ndiyo sababu ya kutojutia pale ninapoachana na mpenzi mmoja kwa kuwa nionapo wengine ninapata ashiki kama binadamu wengine,lakini ninapoingia katika mahusiano (kwa kudhamiria na kujitoa kimwili na kiroho/yaani ninaamua kabisa kuwa huyu ninampenda kwa dhati na sitomfanyia baya lolote) mambo huishia katikati kimyakimya na bila sababu ya msingi,mpaka sasa nahisi nina mkosi na kiukweli roho inaniuma kuona wenzangu wakifaidi matunda ya mahusiano yao na wakiwa wenye furaha huku mimi nikiwa na wasiwasi wa kupata magonjwa kwa kutokuwa katika mahusiano yenye msimamo.
Naombeni ushauri wenu.
Huwa inatokea huna habar na binti hasa baada ya kumla.Ni kupoteza hali ya upendo ndani yako.Itakuchukua muda mrefu kuanza kupenda tena.Pole snHuenda ikawa ni kweli kutokana na historia yangu hapo nyuma lakini kama ni kweli mbona wakati mwingine natamani kupenda haswaa!?
shukrani mkuu,kuna kitu nimejifunza hasa kuhusu mtazamo.Nitaufanyia kazi ushauri wakoNi lazima ufahamu kweli hizi;
1. Mwanadamu anapenda mara moja tu, zingine zote ni ashiki majinuni ikiambatana na kuvumilia kuwa kwenye mapenzi au mahusiano ili siku ziende.
2. Mahusiano sio kufanya ngono, ukiingia katika mahusiano na mtazamo huo, jua kuwa safari yako itakuwa na milima zaidi badala ya tambalale za mahusiano yanayopelekea ndoa.
3. Kabla ya kuanza mahusiano na mtu, mchunguze kwanza wewe binafsi kuhusu tabia yake, mienendo yake, pamoja na familia yake ili utakapoanzisha move za mahusiano yawe yanayokupelekea kwenye kuoa na sio kufanya ngono tu.
Mwisho: Hakuna katika maandiko matakatifu sehemu inayosema kuwa kuna mtu alichumbia akakaa miaka miwili ndio akaoa, walipeleka posa na kuoa mara moja. Unless unakitabu chako tofauti na changu.
Kwahiyo ndugu badili mtazamo kuhusu mahusiano ili usiendelee kukosea zaidi, maana hata mimi ninaekushauri nilishabugi sana na mpaka sasa najutia ila nasonga mbele kibingwa.
Ahsanteduh pole