Ushauri: Sidumu katika mapenzi

Waulize hao wenzako unaowaona wanayafurahia mahusiano wao wanafanyanye watakuambia siri.
 
Wote hatutafanya mazuri lazima muwepo watu kama nyie ili tukiwa tunawashauri wadogo zetu tuwatolee mifano...

Inna unamwaona huyu jamaa anavyofanya basi tulizana.
kwahiyo ni sahihi watu kama mimi kuendelea kuwepo? ni sawa kuendelea kuishi hivi?
 
Endelea kula ujana ukikuwa utajua jinsi ya kumhandle mwanamke,,, hawa viumbe wanahitaji mikakati ili uwatafune vizur
mkuu nyakati hizi magonjwa ni mengi na pia kama kijana mkamilifu ninahitaji kupanga mikakati ya maisha ikiwa ni pamoja na maandalizi ya familia bora
 
Ngoja nitabasam kwanza[emoji4][emoji4][emoji12]....kuna vitu kwenye maisha havihitaji kujifanya "strong" kwasababu ni haviepukiki labda kama una shida ya akili au mwili.....anyway..

Achana na hii kitu immediately "phenomenon of impunity".
 
Wote hatutafanya mazuri lazima muwepo watu kama nyie ili tukiwa tunawashauri wadogo zetu tuwatolee mifano...

Inna unamwaona huyu jamaa anavyofanya basi tulizana.
toa ushauri acha maneno ya shombo pussy weeee
 
Ngoja nitabasam kwanza[emoji4][emoji4][emoji12]....kuna vitu kwenye maisha havihitaji kujifanya "strong" kwasababu ni haviepukiki labda kama una shida ya akili au mwili.....anyway..

Achana na hii kitu immediately "phenomenon of impunity".
wasomi wa sikuizi bhana

haya mama tushajua una degree sijui masters haya bhana
 
You will change if only you decide to be a man, not a boy
 
Kiufupi jamaa yangu unachokipitia sasa ni kwa sababu tayari una tamaa na wanawake tofauti tofauti, sasa inapotokea umeachana na mwanamke huwezi kujutia maana unakuwa tayari una mahali pa kupunguzia uchungu.

Jaribu kuthamini mtu mmoja utakayekuwa nae.
 
Ngoja nitabasam kwanza[emoji4][emoji4][emoji12]....kuna vitu kwenye maisha havihitaji kujifanya "strong" kwasababu ni haviepukiki labda kama una shida ya akili au mwili.....anyway..

Achana na hii kitu immediately "phenomenon of impunity".
kwanza ninashukuru kwa ushauri wako pili ningefurahi zaidi kama ungedadavua zaidi hasa hapo kwenye red
 
kwanza ninashukuru kwa ushauri wako pili ningefurahi zaidi kama ungedadavua zaidi hasa hapo kwenye red
Ni tabia ya kutokujali jambo/kitu fulani,..sasa si kitu kizuri inaweza kukugharimu kwenye maisha na unaweza usione impact yake kwa wakati huu...jaribu kutulia,tambua unahitaji nini kwenye mahusiano yako,.yape thamani mahusiano yako nayo yatakuthamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…